Bwashee kwa totozi za humu ukishawahi jizolea?

Hata hawa mashavu wanaojiposti selfika ulisha wahi jiliagaa mnofu humu?..๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Binafsi mimi kuna pisi nazitamani kinouma humu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Je hili limewahi kutokea humu๐Ÿ˜๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ?? Just I'd tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Jana na juzi watu wamekutafuta wakidai eti umefichwa.

Wakawa wanabeti eti itakuwa mtoto wa elfu bee au mshangazi?

Wakimuomba akuachie upumue japo kidogo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Jana na juzi watu wamekutafuta wakidai eti umefichwa.

Wakawa wanabeti eti itakuwa mtoto wa elfu bee au mshangazi?

Wakimuomba akuachie upumue japo kidogo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Bwashee nilikua Canada kwa mda tu , mimi hakuna wakunificha humu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… , NY mpo poa bwashee?๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ