Bwawa la Mwalimu Nyerere Ahsante magufuli

maguli ndo amefanya nini? hizi ni pesa za walipakodi na tulikuwa tukimlipa magufuli ili afanye kazi hizo. Kuna wengine walijenga vijiji vya ujamaa, wengine madaraja marefu, wengine mbuga za wanyama, wengine kambi za jeshi, wengine shule za kata, wengine uwanja wa mpira, wengine vyuo vikuu, wengine viwanja vya ndege, wengine hospitali za muhimbili na moyo, nk. wote hao walitumia pesa zetu na tuliwalipa mishahara na pension zao.
 
Mbona wengine walishindwa kujenga kwani kodi tumeanza kulipa awamu ya tano??
Yaani mijitu kama wewe ndio michawi
 
Wangapi mlikuwa mnawalipa hizo ulizoita kodi zenu na hawakuwahi hata kuingia site kukata miti?

Nilimsikia jana huyo waziri wa nishati akimpa credit Samia eti aliikuta kazi ikiwa 30% na sasa imekamilika bila kumtaja Magufuli asijue historia ya mtu haifutiki kwa kumsifia boss wake anayemlipa mshahara.
 
Angalau alitoa wazo na alipokatazwa alisimama kama mzarendo kwa ukali although humkubali kwa hiki kidogo mpe maua yake. Awamu ngapi walipita warafi wasifanye kitu tukategemea vyanzo alivyo viacha mwalimu? Tungeendelea na hali hii mpaka mwaka gani Kongole kwako Raisi Magufuli
 
Watu wanaangalia matumbo yao wapumbavuu
 
Babako alijenga nin?
 
kuna kitu nimegundua hii nchi bila magufuli tulikuwa tunaenda kuishi maisha ya giza mpk tuimbe hallelujah,umeme ulikuwa hautoshi na nchi inazidi kukuwa kusipopatikana fundi mwengine akawaza nakufanya jambo kuhusu nishati,huko mbeleni yatatupata makubwa!

kuna viumbe vinaongoza kwa maneno na hakuna kitu, magufuli anastahili heshima yake.
 
Wenzio eti wanamsifia mama tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…