mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maguli hajafanya lolote, infakti hajulikani!maguli ndo amefanya nini?
maguli ndio nani?maguli ndo amefanya nini?...
Mbona wengine walishindwa kujenga kwani kodi tumeanza kulipa awamu ya tano??maguli ndo amefanya nini? hizi ni pesa za walipakodi na tulikuwa tukimlipa magufuli ili afanye kazi hizo. Kuna wengine walijenga vijiji vya ujamaa, wengine madaraja marefu, wengine mbuga za wanyama, wengine kambi za jeshi, wengine shule za kata, wengine uwanja wa mpira na wengine vyuo vikuu. wote hao walitumia pesa zetu na tuliwalipa mishahara na pension zao.
Wangapi mlikuwa mnawalipa hizo ulizoita kodi zenu na hawakuwahi hata kuingia site kukata miti?maguli ndo amefanya nini? hizi ni pesa za walipakodi na tulikuwa tukimlipa magufuli ili afanye kazi hizo. Kuna wengine walijenga vijiji vya ujamaa, wengine madaraja marefu, wengine mbuga za wanyama, wengine kambi za jeshi, wengine shule za kata, wengine uwanja wa mpira, wengine vyuo vikuu, wengine viwanja vya ndege, wengine hospitali za muhimbili na moyo, nk. wote hao walitumia pesa zetu na tuliwalipa mishahara na pension zao.
Una wivu hadi mat*koniMaguli hajafanya lolote, infakti hajulikani!
Angalau alitoa wazo na alipokatazwa alisimama kama mzarendo kwa ukali although humkubali kwa hiki kidogo mpe maua yake. Awamu ngapi walipita warafi wasifanye kitu tukategemea vyanzo alivyo viacha mwalimu? Tungeendelea na hali hii mpaka mwaka gani Kongole kwako Raisi Magufulimaguli ndo amefanya nini? hizi ni pesa za walipakodi na tulikuwa tukimlipa magufuli ili afanye kazi hizo. Kuna wengine walijenga vijiji vya ujamaa, wengine madaraja marefu, wengine mbuga za wanyama, wengine kambi za jeshi, wengine shule za kata, wengine uwanja wa mpira, wengine vyuo vikuu, wengine viwanja vya ndege, wengine hospitali za muhimbili na moyo, nk. wote hao walitumia pesa zetu na tuliwalipa mishahara na pension zao.
Watu wanaangalia matumbo yao wapumbavuuWangapi mlikuwa mnawalipa hizo ulizoita kodi zenu na hawakuwahi hata kuingia site kukata miti?
Nilimsikia jana huyo waziri wa nishati akimpa credit Samia eti aliikuta kazi ikiwa 30% na sasa imekamilika bila kumtaja Magufuli asijue historia ya mtu haifutiki kwa kumsifia boss wake anayemlipa mshahara.
Ungeelewa japo neno la kwanza tu, usingejianika namna hii!Una wivu hadi mat*koni
Nimekujibu unavyofananiaUngeelewa japo neno la kwanza tu, usingejianika namna hii!
Babako alijenga nin?maguli ndo amefanya nini? hizi ni pesa za walipakodi na tulikuwa tukimlipa magufuli ili afanye kazi hizo. Kuna wengine walijenga vijiji vya ujamaa, wengine madaraja marefu, wengine mbuga za wanyama, wengine kambi za jeshi, wengine shule za kata, wengine uwanja wa mpira, wengine vyuo vikuu, wengine viwanja vya ndege, wengine hospitali za muhimbili na moyo, nk. wote hao walitumia pesa zetu na tuliwalipa mishahara na pension zao.
💩Nimekujibu unavyofanania
Wenzio eti wanamsifia mama tuukuna kitu nimegundua hii nchi bila magufuli tulikuwa tunaenda kuishi maisha ya giza mpk tuimbe hallelujah,umeme ulikuwa hautoshi na nchi inazidi kukuwa kusipopatikana fundi mwengine akawaza nakufanya jambo kuhusu nishati,huko mbeleni yatatupata makubwa!
kuna viumbe vinaongoza kwa maneno na hakuna kitu, magufuli anastahili heshima yake.
hata sio wenzangu hao ni mizimu hiyo...🤣Wenzio eti wanamsifia mama tuu
Wajingaaaahata sio wenzangu hao ni mizimu hiyo...🤣