Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kuna mtu atakuja hapa ili abishe tu
Sasa mtu alitimuliwa kwa vyeti feki atampendaje magufuli
Kwa mjibu wa Wahenga ILI UJENGE LAZIMA UHARIBU.Alipeleka wapi miti iliyokatwa kwenye eneo hilo? Au ndio katika hayo hayo ya kutokujali watakaohoji?
kwa hiyo ben saanane alikuwa anaijuwa elimu ya jpm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama alihoji hakuwa na ushahidi wa kutosha kujuwa kama ni msomi au siyo msomi kwani ben alikuwa ninani hadi awe na taarifa za kutosha kuhusu elimu ya JPMKama yeye alikuwa na vyeti halali kwanini alimpoteza Bensàa8
Ukimkataa shetani kataa na matendo yake yote mpumbavu wewe.Magufuli alikuwa ni takataka japo kwenye bwawa na sgr nilimuunga mkono.
Kwahiyo hiyo miti kwako ni muhimu kuliko maisha ya watanzania yaliyokuwa yanateketea kwa ukosefu wa nishati hii muhimu?Alipeleka wapi miti iliyokatwa kwenye eneo hilo? Au ndio katika hayo hayo ya kutokujali watakaohoji?
Kwa mjibu wa Wahenga ILI UJENGE LAZIMA UHARIBU.
kwa hiyo ben saanane alikuwa anaijuwa elimu ya jpm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama alihoji hakuwa na ushahidi wa kutosha kujuwa kama ni msomi au siyo msomi kwani ben alikuwa ninani hadi awe na taarifa za kutosha kuhusu elimu ya jpm
Kwahiyo hiyo miti kwako ni muhimu kuliko maisha ya watanzania yaliyokuwa yanateketea kwa ukosefu wa nishati hii muhimu?
Suala la umeme hata mimi ninaliunga mkono, lakini kutekeleza miradi 5 ya billions of shillings ndani ya muda mfupi kwa nchi masikini kama Tanzania hayakuwa maamuzi sahihi.View attachment 2388796
View attachment 2388797
Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika John yake ilikuwa namba moja.
Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu ( Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa kama Magufuli. Kelele, vitisho, hujuma na hata usaliti vilimea kwa kasi lakini mwamba hakujali na alisimamia kile alichokiamini!
R.I.P JPM.
Akili zenu zimelala siku hizi labda mbelgiji aje kuziamshaMiti pia ni mali ya watanzania lazima waambiwe ilipelekwa wapi baada ya kukatwa.
Akili zenu zimelala siku hizi labda mbelgiji aje kuziamsha