InvisibleTarget
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,138
- 2,176
hata namna alivyotuvusha kwenye janga la CORONA inaonesha ni jinsi gani alikuwa ni Raisi mwenye maono na uthubutu...wimbi la watu waliokufa kufa kabla ya kifo chake ulikuwa kama mchezo wa kuigiza na ndio sababu baada ya March 17 vifo vyote vikakoma. Hayati JP Magufuli angetufikisha nchi ya ahadi.View attachment 2388796
View attachment 2388797
Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika John yake ilikuwa namba moja.
Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu ( Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa kama Magufuli. Kelele, vitisho, hujuma na hata usaliti vilimea kwa kasi lakini mwamba hakujali na alisimamia kile alichokiamini!
R.I.P JPM.