Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Kwani Magufuli bado Rais?Kwa taarifa tu uchumi wa nchi unaporomoka kwa haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Magufuli bado Rais?Kwa taarifa tu uchumi wa nchi unaporomoka kwa haraka
Mimi ni mzalendo hivyo jambo jema lazima niliunge mkono. Ila udikteta, mauaji na risasi nitavipinga daima.ni suala la muda ona unavojing’ata nga’ata ! una disi na kukubali 😀😀
Umezoea kupelekeshwa kama punda, huna mawazo huru.sawa kwene mtaa wa wajinga jambo la akili linachukiwa
Wewe naye umejaza matope tu kichwani. Unawezaje kuunga mkono takataka? Nyumbu mna matatizo makubwa sana ya kufikiri.Magufuli alikuwa ni takataka japo kwenye bwawa na sgr nilimuunga mkono.
Nani kasema "kuna tatizo mahala", kama siyo kujistukiza?Ndio kwani kuna tatizo mahala?
Unataka kupingana na maazimio ya serikali toka awamu ya baba wa taifa?
Watanzania wengi waliamini ugumu huu wamaisha utokanao na ujenzi wa miradi mikubwa nchini mwao wanaumia lakini wangekula matunda siku za usoni kwa ata nchi zinazotupa misaada leo hii nazo zilipitia vipindi vigumu kuliko ata siye.Hilo la kujenga nchi hatuna ubishi ingawa alipaparuka.
Ku enject trilions ktk miradi mikubwa at the same time ni kudumaza mzunguko wa hela.
Pesa nyingi wanachukua mabeberu kwa njia ya ununuzi wa malighafi, mitambo na kulipa expatriate,
Ila pia alifanya uamuzi mgumu ktk kuhitimisha maisha ya watu na kuiba hela za watu mabenki nk.
Bila kusahau plea burgain ya 50b ambazo hazikuingia serikalini
Issue ya BenWatch8,sijui tajiri Mo Energy ni mapicha picha km yaliyokuwa mapicha picha mengine.kwa hiyo ben saanane alikuwa anaijuwa elimu ya jpm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama alihoji hakuwa na ushahidi wa kutosha kujuwa kama ni msomi au siyo msomi kwani ben alikuwa ninani hadi awe na taarifa za kutosha kuhusu elimu ya JPM
Unao ushahidi wake au ni mihemko!?Kama hakuwa na ushahidi kwanini alim-eliminate? Si angeamuru tu apelekwe mahakani atoe ushahidi akishindwa afunguliwe mashtaka.
Hapo Kwa Mo ndipo umedhihirisha wazi kwamba na ww ni mtu wa hear say.Hapo hujui nini sasa, hujui ben saanane aliuaw, huji lisu kilichompata, hujui azroy alipo, hujui mawazo alipo, hujui Mo alitekwa,
Ukisubiria utafiti wa kitaalamu ndio uanze ujenz utashangaa miaka ya kukaa madarakani imeisha na majibu hayajapatikana au majibu yanalenga kukwamisha ujenzi.Ok JPM alikuwa anathubutu, lakini alikuwa hajali ipasavyo ushauri wa kitaalamu au kuwa na subira utafiti kamili utangulie ujenzi wa mradi.
WWF wana msemo " the true cost of a dam never shows up on a balance sheet". Aswan Dam huko Misri kmf uliongeza eneo la umwagiliaji maji kwa wakulima, lakini mimea iliyopandwa ilikuwa hafifu kwa kukosa virutubisho vilivyonaswa bwawani. Matumizi ya mbolea yakaongeza sana gharama. Huko kwenye delta ya mto Nile uzalishaji wa kamba (prawns) ulitoweka- $7 bilioni kwa mwaka zikapotea.
Nini tunajifunza toka mgao wa umeme uliopo sasa hivi wakati tuna mabwawa ya Kidatu, Kihansi, Pangani,Mtera nk?
Jaza kwanza hilo bwawa harafu ndio uje na hadithi za Abunwasi.Mkuu heb acha kukaririshwa.
Heb google hapo uangalie haya mabwawa mawili uone yamejengwa mwaka gani
1. Three Gorges Dam - 22,500MW - China
2. TalHige Dam - 6,000MW - Etheopia
Hivi vijisababu vya tabia inchi vipo Tanzania tu au ndo Elimu ya kukariri?huko kwa wenzetu wanaojenga hawana hizi tabia inchi tunazohubiriwa kwetu hazipo au wao wapo Sayari nyingine?
One thing hizo nchi mbili hapo juu they have in common uchumi wao umekua ukikua kwa 7%+ for the last 10yrs...and to be one of them lazima uinge mawili matatu kutoka kwao...Cheap Electricity, cheap production cost.
Soon the world will go green with electical cars and the likes, tabia inchi zitarudi km tupo in 1920's...au ulitaka tusubiri grean revolutions ndo tukurupuke kujenga hilo Dam?
Visionary are people who sees tomorrow, and JPM was one of them...unfortunately kwa ulichoandika hapa i dont see km u r among them.
Ni kweli tabia inchi ipo bt not to that extent Next time ukisikia kitu kifanyie research kuthibitisha, then changanya na zako, sio unatirika na pumba kwakua tu kuna watu fulani fulani wamesema hivyo.
Tafuta tarifa za IFM na WB wakati wa Magufuli,kwa mda mfupi Tanzania ilijikuta kwenye Uchumi wa Kati tena kwenye kipindi kigumu cha Corona,ambapo nchi zote Uchumi wa nchi nyingi uliporomoka.Kwa taarifa tu uchumi wa nchi unaporomoka kwa haraka
Kuna watu Huwa wanaongea Kwa mihemko sana,na wapo wengi mno.Tafuta tarifa za IFM na WB wakati wa Magufuli,kwa mda mfupi Tanzania ilijikuta kwenye Uchumi wa Kati tena kwenye kipindi kigumu cha Corona,ambapo nchi zote Uchumi wa nchi nyingi uliporomoka.
Ni sawa kwamba huwezi kupendwa na watu wote. Utakuta hata wewe katika familia yako ya watu 4 au 5 wapo wasiokupenda kwa hisia zao. Sasa fikiria unaongoza wa Tz million 60, kweli utakosa wasiokupenda? Hata Yesu au Masiah alikuwa ma wanafunzi 12 tu lakini Yuda alikuwa msaliti akamuuza kwa maadui kwa vipande 30 vya fedha.Magufuli alikuwa ni takataka japo kwenye bwawa na sgr nilimuunga mkono.
Tuyafanyie kazi mawazo yako kuliko mawazo ya vikao halali vya serikali? Makao makuu ya Serikali kuwa Dodoma hayakuwa mawazo binafsi ya baba wa taifa.Kwani mawazo ya baba wa taifa ni ya mungu??