Hapo hujui nini sasa, hujui ben saanane aliuaw, huji lisu kilichompata, hujui azroy alipo, hujui mawazo alipo, hujui Mo alitekwa, hujui benk pesa zilichotwa, hujui plea bargain ya zaidi ya 50b zilienda wapi.Ndio nini hiki umeandika wewe ngumbaru!
Alikuibia shingapi? Tuwekee uthibitisho.
Ni awamu ipi ama nchi gani ambayo hainunui malighafi kwa mabeberu?
Tuthibitishie.
Hii nchi tatizo la elimu ni kubwa sana aisee.
Hujui ukilipa sana manunuzi toka nje kwa fedha nyingi kwa wakati mmoja uchumi wa ndani unazorota na mzunguko wa fedha.
Kama kweli hujui.
Nakusamehe