kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 623
- 606
Ujinga mwingine huu hapaJanuary alishalitolea ufafanuzi.Kama mlivyokuwa mnalishwa matango pori kuwa uchumi unakua kwa 7% ndivyo mlivyolishwa matango pori kuhusu progress ya Bwawa hilo.Sasa ni wakati wa kukabiliana na UKWELI.STAHIMILi (In Kipozeo voice)