Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto jioni ya Oktoba 16, 2020 na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, hakuna kifo cha mwanafunzi yeyote.
Source:
Source: