Yengekua makanisa ama shule za mission, muda mrefu uchunguzi ungeshafanywa na jibu lingekuja kua ni Magaidi.
Tanzania nchi yangu inani kera linapokuja swala la imani.
Inapendelea ukiristo kwa wazi kabisa, na kukandamiza uislam.
Unaweza kuta kiongozi wa kiimani wa dini ya ki kristo akaongea kauli inayo hatarisha amani ya nchi na asifanywe lolote, lakini isitokee kwa kiongozi wa imani ya kiislam akaisema serkali, (hata kwa swala lenye manufaa kwa taifa ) kesho utasikia kesha kamatwa na kufunguliwa kesi.
Kila siku (mwaka huu tangu uanze) Shule za kiislam zinachomwa moto lkn sioni juhudi yoyote ya serkali ktk kuzuia hilo, achilia mbali kuchunguza.
Ivi Shekh ponda walisha mwachia au bado wamemvumbika nyuma ya nondo?