Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

CCM na Serikali yao walikuwa fasta Sana kutoa matamko ya haraka na kwa ukali kuhusu studio ya S2KIZZY kuvamiwa na kuagiza polisi wapambane haraka
Ila hili naona Kama wanalichukulia kawaida tu, na siasa zao za kijamaa za Binadamu wote Ni sawa..damn
 
waliishapewa instruction za kuimarisha ulinzi lakini bado watu wanazembea hapo mkuu wa shule awajibishwe anajua kila kitu
Wanahaki ya kulindwa. Lakin waislam Warejee Albaqara. Kutiba ......... Mmefardhishiwa kulipa ..........
 
Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto jioni ya Oktoba 16, 2020 na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, hakuna kifo cha mwanafunzi yeyote.

Source:
View attachment 1602949
Mbona haya mambo ya moto yameshamiri kpnd hiki? Isiwe sababu ya uchaguzi!!!!
 
haya mambo yanatatiza mnoo
lakini cha ajabu si Bakwata wala Serikali wote wamepiga kimyaa....
hakuna tamko lolote liwe hata la kulaaani tuu
 
Islamic schools - kuna kitu hapo......Vyombo vya uchunguzi endeleeni kupoteza muda kwenye kufanya kampeni za ccm ,hayo matukio inabidi yakomeshwe otherwise tutakuja kulia.
 
Hili swala sasa si bure.Panahitajika intelijensia ya nguvu kukifikia chanzo cha matukio haya.
 
Back
Top Bottom