Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Politics.Sauti za masheikh wa UAMSHO na wengineo waliodhulumiwa Haki zao zinawakumbusha waislamu 'wenzao' katika taifa hili kutetea haki na kupaza sauti dhidi ya dhulma walizofanyiwa na serikali ya CCM.
'Jicho la kiroho'
👍👍Why islamic schools ? Nn kinawapata wao tu ? Ebu tupewe jibu sahihi na mamlaka husika.
Jamani kuna nini Islamic schools?
waliishapewa instruction za kuimarisha ulinzi lakini bado watu wanazembea hapo mkuu wa shule awajibishwe anajua kila kituUchunguzi wa kina ufanyike ili shule nyingine ziweze kuchukua tahadhari na zisiwafikie madhara ya moto.
HILI SUALA SIO LA WALE WENGINE WALA NINI KUNA SHIDA MAHALA FULANI .KUNA HUJUMA NA UHARIFU UNAENDELEA CHINI KWA CHINIHapo utawasikia wakisema tatizo ni wiring lakini zingekuwa zile za wale wengine tungeambiwa ni magaidi ndio wanachoma
Wanahaki ya kulindwa. Lakin waislam Warejee Albaqara. Kutiba ......... Mmefardhishiwa kulipa ..........waliishapewa instruction za kuimarisha ulinzi lakini bado watu wanazembea hapo mkuu wa shule awajibishwe anajua kila kitu
Wapo kisiasa zaidi.Sijawahi msikia hata msemaji wa Serikali Abbas akilitolea ufafanuzi hayo masuala.
Yeye Yuko busy na uvamizi wa studio za kina s2kizzy!
Mbona haya mambo ya moto yameshamiri kpnd hiki? Isiwe sababu ya uchaguzi!!!!Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto jioni ya Oktoba 16, 2020 na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, hakuna kifo cha mwanafunzi yeyote.
Source:
View attachment 1602949
Cheap politics hazitaliinua Taifa hili.Wapo kisiasa zaidi.
Sijawahi msikia hata msemaji wa Serikali Abbas akilitolea ufafanuzi hayo masuala.
Yeye Yuko busy na uvamizi wa studio za kina s2kizzy!
Aseme wewe ni punguani!Sasa unataka aseme nini?