Sheikh Alhad Salum wa Dsm atakuwa anajua sababuBweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto jioni ya Oktoba 16, 2020 na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, hakuna kifo cha mwanafunzi yeyote.
Source:
View attachment 1602949
Yupo busy na matamko ya uchaguziIGP siro hajasema chochote?
wanapiga kampeniBAKWATA kazi kupeana majina makubwa makubwa tu "Mwenyekiti wa Baraza la Ulamaa" lakini huwasikii kwenye mambo ya kusemea maslahi ya Waislamu.
Utawasikia pale serikali itakapotoa tamko na wao watatambalizia humohumo wakikariri kama kasuku na kusherehesha
Why islamic schools ? Nn kinawapata wao tu ? Ebu tupewe jibu sahihi na mamlaka husika.
NI HIVII:Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto jioni ya Oktoba 16, 2020 na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, hakuna kifo cha mwanafunzi yeyote.
Source:
View attachment 1602949
Ulizia kikundi cha kiislam kinachoipinga BAKWATA, ndicho kinachoratibu hayo mambo na sio kwamba Serikali haifahamu.Jamani kuna nini Islamic schools?
Umeanza kutapika bila hata kujua sababu ni nini kijana wa MwamediHujma za magalatia, manaswara na mayahud.
Kabla ya kuanza kutapika, Fanya utafiti ujue ni nani wanaoratibu hili na kama hujui ni bora uulize au utulie kimyaHapo utawasikia wakisema tatizo ni wiring lakini zingekuwa zile za wale wengine tungeambiwa ni magaidi ndio wanachoma
Nina wasiwasi wewe ulihusika kuichoma moto..na hiki ulichoandika ndo matokeo mnayoyatarajiaWanahaki ya kulindwa. Lakin waislam Warejee Albaqara. Kutiba ......... Mmefardhishiwa kulipa ..........
Mbona huko mbeya mkuu washule na mwenyeshule walikamatwa, bwana mkubwa akasema waachiwe, bila shaka wanafahamu nikinanani wanaohusika. Lakiniwatakuwa wameshindwa kuwadhibiti.waliishapewa instruction za kuimarisha ulinzi lakini bado watu wanazembea hapo mkuu wa shule awajibishwe anajua kila kitu
Serikali imeshindwa kuwadhibiti?.Ulizia kikundi cha kiislam kinachoipinga BAKWATA, ndicho kinachoratibu hayo mambo na sio kwamba Serikali haifahamu.
Hadi barua walishatuma kwny misikiti ya BAKWATA
Sijali umri wako ila nimekutukana matusi yote mabaya,kichwani mwako kumejaa a skimmed pooh, mnafiki na mfitinishi wapi umeambiwa hawafanyi uchunguzi, unaushahid wa upendeleo wowote w kidini nchini au mk#N unakuwasha unataka ukuniYengekua makanisa ama shule za mission, muda mrefu uchunguzi ungeshafanywa na jibu lingekuja kua ni Magaidi.
Tanzania nchi yangu inani kera linapokuja swala la imani.
Inapendelea ukiristo kwa wazi kabisa, na kukandamiza uislam.
Unaweza kuta kiongozi wa kiimani wa dini ya ki kristo akaongea kauli inayo hatarisha amani ya nchi na asifanywe lolote, lakini isitokee kwa kiongozi wa imani ya kiislam akaisema serkali, (hata kwa swala lenye manufaa kwa taifa ) kesho utasikia kesha kamatwa na kufunguliwa kesi.
Kila siku (mwaka huu tangu uanze) Shule za kiislam zinachomwa moto lkn sioni juhudi yoyote ya serkali ktk kuzuia hilo, achilia mbali kuchunguza.
Ivi Shekh ponda walisha mwachia au bado wamemvumbika nyuma ya nondo?
Sijali umri wako ila nimekutukana matusi yote mabaya,kichwani mwako kumejaa a skimmed pooh, mnafiki na mfitinishi wapi umeambiwa hawafanyi uchunguzi, unaushahid wa upendeleo wowote w kidini nchini au mk#N unakuwasha unataka ukuni
Hapo utawasikia wakisema tatizo ni wiring lakini zingekuwa zile za wale wengine tungeambiwa ni magaidi ndio wanachoma