BYD wazindua magari yao maarufu matatu ya umeme (Dolphin, Seal na Atto 3) nchini Kenya

Kenya wanawavutiaje hawa wawekezaji wakubwa?
Why not tanzania?
Elimu, uadilifu na pia wanajali ajira zao
Mshahara unawatosha na hawezi kuiba πŸ”§ πŸ›  akaenda kuuza kama sisi
Unaweza ukamkabidhi manager mkenya kampuni na akaiongoza kama yake na faida akakuletea
Sisi ukibebeshwa mzigo tu unakimbia nao
Lazima tuwe wakweli
 
Tatizo tax zikianza hapo. Nadhani serikali kwanza ijue inafanyaje issue ya tax kwenye EV
Kuna waziri kama sikosei aliongelea hili na kusema ukileta gari ya umeme ushuru ni kama hakuna
Au sikuelewa vizuri?
Kwa kweli kama zitakuja kwanza itabidi tujipange haswa kuanzia mafundi
Nchi haina dira kabisa mkuu
Huoni magari ya kifahari yamelala garages kisa hakuna wa kuyatengeneza

Badala ya kutembeza bakuli, Mabalozi wangetafuta namna ya kupata fursa kwa vijana wakasomee China hata 400 kwa kuanzia
Serikali inajua kukopa ila vijana hawana taaluma zozote zaidi ya vyeti
 
Alileta maneno yao ya bungeni tu ili apigiwe makofi.

Tesla ndio EV iliyopo kwenye kikokotoo cha TRA, Kodi yake bora ununue mafuta miaka 10.
 
Baada ya Buji Kharifa kuinyesha picha ya bwana yule nilijua tayari tushakuwa koloni la ukanda wa mafuta,lakini Hawa wasomi wetu Wana nafasi gani katika uchumi wetu wa hovyo kabisa.
 
Baada ya Buji Kharifa kuinyesha picha ya bwana yule nilijua tayari tushakuwa koloni la ukanda wa mafuta,lakini Hawa wasomi wetu Wana nafasi gani katika uchumi wetu wa hovyo kabisa.
Hivi le jengo wanatumia technology gani kudisplay ule unyama
 
Daa tutafika tumechoka sana
Sasa Tesla yenyewe bei yake ndio hivyo
Tra hata oxygen wangetuuzia hawa
Yeah, hii hapa Model 3 2020, Beforward unaipata kwa CIF ya $20,000 ukija ushuru bora ununue Prius ya 2023.

Kidogo Prius ina kodi ndogo ila CIF zinafanana uko Beforwad na bwana Tesla.


Uyo Prius usimchukulie poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…