Bye bye ios


Mkuu nisaidie kucheki hapo nimetuma picha uone hizo frequency kama itakuwa vyema hapa Tanzania.
 
Kudownload vitu kama mziki, movie inakuwa ngumu sana, wakati kwenye android naweza kudownload na kuhamishia hata kwenye flash vizuri tu. Kwenye android unaweza kuweka hata vidmate na ukawa unadownload HD video. Lakini huku kwenye ios utasubiri sana.
Kwanini udownload music au movies wakati kuna apple music na netflix?
 
Pole sana mkuu
Nina mwezi natumia IOS maisha matamu sana nadownload nyimbo fresh tu na kuna application ya audio player hata android ipo inaitwa eSound ndo inapiga mzigo kama kawaida

Sijawahi kutumia Android na sitamani [emoji3]
Change Apple Store Yako, Tumia store Ya Us [emoji631] kuna apps nyingi na nzuri zenye msaada Na zingine kuangalia movies ni buree kabisaa!! Bando laaako tuuu
 
Nkiwa na anroid sihitaj kudownload maapplication yote hayo uliyoyataja,kumaliziana space tu chaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…