Bye bye ios

Usiseme ni simu cheap wakat kila platform mpka EBAY zinauzwa mkasi sasa cjui hyo cheap uliiona wap mwenzetu.

Huku tu penyewe wananiambia laki 8. [emoji15][emoji15]
 
EBAY ndio wazalishaji au ni kina Nani? Tazama Bei ambacho haina cheni ndefu ya wauzaji
Agiza Alibaba uone utofauti wa Bei.
alibaba na ebay hazina tofaut alaf alibaba kununua simu moja wakikukubalia ujue utaumia kwenye shipping hile ni wholesale platform
 
alibaba na ebay hazina tofaut alaf alibaba kununua simu moja wakikukubalia ujue utaumia kwenye shipping hile ni wholesale platform

Ni kweli mkuu, hicho tu ndo huwa nashindwa kuagiza mzigo alibaba.
 
Una budget kiasi gani?

Kwa samsung nzuri ya bei rahisi ni A52 ambayo ni zaidi ya laki 7, chini ya hapo hupati simu kali atleast kwa generation hii.

Ambayo ina afadhali ni Hii A22 ambayo inatoka sasa hivi, japo ni mediatek ila mediatek yake ina nguvu kidogo.

Ukitaka simu nzuri za laki 5 kushuka ni za Xiaomi,

Na pia kama unatoka iphone Angalia unapenda simu ndogo? Maana simu nyingi za Android low end zina vioo vikubwa
 

Nina Laki Tano mkuu.
 

Nahitaji simu yenye display angalau 6.5 maana nahitaji kuanza kushusha movie na Video mbali mbali.
 

Hahhaa, sasa kuna wengine wanalipenda ivyo ivyo, wenye mahaba yao na marekani hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…