Bye bye ios

Uhuru kama upi?

Kudownload vitu kama mziki, movie inakuwa ngumu sana, wakati kwenye android naweza kudownload na kuhamishia hata kwenye flash vizuri tu. Kwenye android unaweza kuweka hata vidmate na ukawa unadownload HD video. Lakini huku kwenye ios utasubiri sana.
 
Una uhakika mkuu sio changa la Macho hili?

SD 480G ina nguvu kushinda sd 720G na 732G ina maana hii simu ina nguvu kushinda redmi note 10 pro, galaxy A52 etc.

Kama ni kweli ni bonge la simu, ila akili yangu inaniambia either wamekosea kichwa cha habari ama seller ni tapeli (hana review yoyote), no way simu ya sd 480G iwe chini ya dola 200, nyingi ni dola 300 kupanda.
 
Hizo simu huwa mnauziwa wapi ?

Mimi nina simu yenye MTK na huu ni mwaka wangu wa pili naitumia, wala sijawahi kuona hayo mapungufu mnayosema.

Cha acheni kununua second hand materials
Wameshikwa akili... Hawaongei wanachokijua bali wanachokisikia
 
Kudownload vitu kama mziki, movie inakuwa ngumu sana, wakati kwenye android naweza kudownload na kuhamishia hata kwenye flash vizuri tu. Kwenye android unaweza kuweka hata vidmate na ukawa unadownload HD video. Lakini huku kwenye ios utasubiri sana.
Na kuplay na bluetooth speaker inasumbua pia?
 
Mkuu kanunue Tecno utumie baada ya mwezi kisha leta majibu.
Tecno na infinix ni simu za bei rahisi sana ila kama kwa mfano tecno ukinunua kuanzia hile spark 5 au camon series, Phantom series na infinix kuanzia hot 9 ya 3GB RAM, NOTE SERIES cdhan kama kuna shida kwa matumiz ya watanzania weng kuingia fb, jf, insta, whatsapp na youtube.
Ila kama ndio mtu unatumia zile pop, cjui W5....nk hapo lazma ukutanenacho.

#kama huna uwezo ingia tecno maisha hayalazimishw wote mtaona tu updates za millard ayo ila kama unataka showoff uza ata vitu vyako vya ndani unanunua iphone au samsung S21Ultra ili uonekane wa kileo alaf kesho uanze tena kuilaumu serikali kuwa haiwajali vijana kwenye ajira...
#Goodluck!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapana, unajua sifa zake ninazozisikia, na bei zake, zinanishawishi kuona ni simu nzuri na zenye ubora sana

Simu zao ziko vizuri mno, shida tu ni ule uhuru wa kutumia unavyotaka. Kule android unaweza kupata app nje ya playstore lakini huku huwezi kuweka app tofauti na ile iliyoko appstore. Labda ujaibreak
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umeamua kulipuka kabsa
 
Simu zao ziko vizuri mno, shida tu ni ule uhuru wa kutumia unavyotaka. Kule android unaweza kupata app nje ya playstore lakini huku huwezi kuweka app tofauti na ile iliyoko appstore. Labda ujaibreak
Sawa sawa, pia naomba uniambie uzuri wa hizo simu ni upi?? Mpaka ufanye ziuzwe ghali? Maana nataka niachane na Android
 
Laki 5 kma unataka simu ya maana mpya nunua Xiaomi tu or Realme/Oppo. Redmi Note 10 unaweza pata kwa laki 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…