Samsung a32 5g bado ni simu nzuri kwa sababu inatumia Mediatek Dimensity 720 5g.
Dimensity series zina uwezo tu mkubwa ukilinganisha na baadhi ya SoC za qualcom
Japo bei ya samsung a32 inaweza ghari kwa sababu kuna simu zinatumia Dimensity 720 5g na bei ni chini ya 450k.
Mfano ni redmi note 10 5g ambayo ina vitu vingi vizuri kuliko a32 5g.
Lakini kama snapdragoni ni kipaumbele kwako nadhani Vivo U3X inakufaa kwa sababu kiuwezo inaipita redmi note 10 5g na samsung a32 5g.
Vivo U3X inatumia snapdragon 480 ambayo ina modem ya 5g pia na kiuwezo inazipita cpu nyingi tu za hivi karibuni.
Japo vitu vingine vya kawaida sana.
View attachment 1792773
Bei ya Vivo u3x aliexpres inaenda TZS 435,908.89 mpaka uipate.
Smarter Shopping, Better Living! Aliexpress.com
www.aliexpress.com