Bye bye ios

Nisaidie kujibu hapo, kwanini zinauzwa ghali sana?

Zinauzwa ghali kutokana na uimara wake kuanzia Quality ya Camera na upekee wao wa ios, iPhone hata ikiwa full haiwezi kustuck bali itakuleta ujumbe kwamba imejaa ila kupiga kazi kama kawaida inapiga kazi. Haigusi vizuri mara sijui app stoped kama hizi Android.
 
Hlo ni swala la simu tu. Hata Android zenye za bei kma za iPhone hani stuck wala nini. Mimi natumia Google Pixel 4 na inapiga kazi vizuri. Huwezi ona imenasa hata siku moja. Ukilinganisha Android ya laki 5 na iPhone ya 2M hapo unakosea
 
Duh hatari
Simu nzuri ni bei kubwa. Kma latest iPhone zilivyokuwa 2M+ kuna Android phones za 2M+ pia. Kma unataka uwezo mzuri kwa bei ndogo nunua Android ya zamani kidogo utapata uwezo mzuri tu. Unaweza pata Google Pixel 3 or 3XL kwa wadau for about 500k. Camera nzuri kuliko iPhone zote except iPhone 11 kwenda juu, performance nzuri, na unapata latest Android version.
 
Kuna store nyingine tofauti na hiyo wanauza bei hiyo ya 439,827.43

Kwenye tovuti ya gizmochina wamelist price $190.

Hata wauzaji wa alibaba bei ina $195-$240 kulingana na ukuwa wa RAM na ROM

Ukiangalia hii simu kuna wamevidowngrade kama kama camera na fast charge

Kiujumla hiyo ndio bei yake.
 
Hapo nimekupata
 
NORD 10N simu kali sana kama unavisha simu cover,

SD 690G kwa simu chini ya dola 300 ni nzuri, pia ina 5G future proof.
Aisee hiyo 5G sidhani kama tutakuja kuitumia ndani ya miaka mitatu ijayo maana 4G yenyewe iko mjini tu. Kama Reno 5 walivyokuja na 4G version hapo Kenya
 
Kama ni kweli kwa hio bei hata kama wame downgrade kwengine ni simu nzuri bado.
 

Hivi kuna Redmi Note 10 na Redmi Note 10 Pro? Au ni hiyo hiyo moja? Nimepata hapa 4RAM 128GB wanauza 500k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…