MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
- #141
Nisaidie kujibu hapo, kwanini zinauzwa ghali sana?
Zinauzwa ghali kutokana na uimara wake kuanzia Quality ya Camera na upekee wao wa ios, iPhone hata ikiwa full haiwezi kustuck bali itakuleta ujumbe kwamba imejaa ila kupiga kazi kama kawaida inapiga kazi. Haigusi vizuri mara sijui app stoped kama hizi Android.