MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
-
- #161
Simu mbili tofauti mzee umeipata wapi
Mi natumia Vivo hainizingui. Unaweza kuzichiki pia.
Nishamstukia
Hapa mtakesha mbona
Nimetulia zangu na LG
Mkuu subiri basi nipate uzoefu. Ili nikienda kuchagua nisijutie. Ila nimeona nibaki kwenye Redmi Note 10
Radmi Note 10 pro au?Mkuu subiri basi nipate uzoefu. Ili nikienda kuchagua nisijutie. Ila nimeona nibaki kwenye Redmi Note 10
Radmi Note 10 pro au?
Huku maeneo yangu wanauza 500k hapo yaani bei ya kishikaji. Ila ni Redmi Note 10 4Ram 128GB.
Nimejaribu kucheki specific zake hakika nimeridhika nayo. Hii ndo naona itanifaa.
Agiza uchina wewe usave pesa acha uoga
Hapo ukijumla na shipping ni kama 430kAgiza uchina wewe usave pesa acha uoga
Sasa huoni umesave pesa mingi hapo unachukua na saa kali kabisa haylou solar l 05Hapo ukijumla na shipping ni kama 430k
Kwa Laki 5 karibu Redmi hutajuta!Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.
Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.
Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani wao ni mwendo wa Kula Bando Tu kila sehemu sasa nimeamua kujitoa rasmi.
Sasa Nimeamua kurudi kwenye Android zetu hizi zenye Uhuru wa kuifanya unavyotaka ila nimeshindwa kuchagua ni simu gani nzuri kuanzia utunzaji wa chaji, ubora wa Camera, na Speed ya internet kama 4G.
Nimejaribu kutembelea madukani nimekutana na Samsung nyingi lakini katika process ya kucheki specific zake nakutana na chip za MTK tu, nimeshindwa kuelewa inamaana siku hizi Samsung wameamua kuhamisha simu zao kutoka Qualcom Hadi kwenda Mtk. Na Mimi chip ya Mtk huwa siziamini kabsa.
Wadau naomba maoni yenu ni simu gani nzuri hapo
Oppo, Samsung, Nokia, Redmi.
Bajeti yangu ni Laki Tano.
Sasa huoni umesave pesa mingi hapo unachukua na saa kali kabisa haylou solar l 05
Kama note 8 vipi iko põa?Kwa matumizi ya kawaida kuanzia A32 siyo mbaya sana... Pia kama unaweza pata redmi, xiaomi, oneplus au meizu kidogo unaweza pata smu nzuri... Ila kama unataka mambo mazuri anagalia S na Note series... Na wwe kama umetoka kutumia ios kidogo unaweza afford
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Mbona mshahara tunausotea kwa mwezi mzima hatuoni tabuShida ni kusubiri 3 week dah.
Mbona mshahara tunausotea kwa mwezi mzima hatuoni tabu
Usihofie hela. Kule hela haipotei hata siku moja. Labda kma unaona kusubiri jau.Mkuu laki 4 ni nyingi huwa sipeleki mtandaoni[emoji16], kuagiza kwangu mtandaoni mwisho laki moja.
Usihofie hela. Kule hela haipotei hata siku moja. Labda kma unaona kusubiri jau.