Bye bye ios

Bye bye ios

Mbona mi na download movie, na download nyimbo kama android na save kwenye file manager na play iPhone
 
Agiza uchina wewe usave pesa acha uoga
332D7756-A774-445E-B7F0-FD6791C08C37.jpeg
 
Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi.

Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa Uhuru kwenye chombo changu.

Maana siwezi kudownload Movie, Siwezi kudownload Nyimbo mbalimbali yaani wao ni mwendo wa Kula Bando Tu kila sehemu sasa nimeamua kujitoa rasmi.

Sasa Nimeamua kurudi kwenye Android zetu hizi zenye Uhuru wa kuifanya unavyotaka ila nimeshindwa kuchagua ni simu gani nzuri kuanzia utunzaji wa chaji, ubora wa Camera, na Speed ya internet kama 4G.

Nimejaribu kutembelea madukani nimekutana na Samsung nyingi lakini katika process ya kucheki specific zake nakutana na chip za MTK tu, nimeshindwa kuelewa inamaana siku hizi Samsung wameamua kuhamisha simu zao kutoka Qualcom Hadi kwenda Mtk. Na Mimi chip ya Mtk huwa siziamini kabsa.

Wadau naomba maoni yenu ni simu gani nzuri hapo

Oppo, Samsung, Nokia, Redmi.


Bajeti yangu ni Laki Tano.
Kwa Laki 5 karibu Redmi hutajuta!
 
Kwa matumizi ya kawaida kuanzia A32 siyo mbaya sana... Pia kama unaweza pata redmi, xiaomi, oneplus au meizu kidogo unaweza pata smu nzuri... Ila kama unataka mambo mazuri anagalia S na Note series... Na wwe kama umetoka kutumia ios kidogo unaweza afford

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kama note 8 vipi iko põa?
 
Back
Top Bottom