Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

umesoma vizuri nilichokisema???
kimbilio lako matusi tu sababu huna hoja & hujielewi vilevile...

kwa kumheshimu bro Mshana Jr sitojibu lugha isiyo na staha kwenye uzi wake
Asante sana kwa weledi kujitambua na kuonesha kujali
 
Iphone haiwez kufa maana inatumia software yake pekee

Afu kingine iphone 6 ni ya 2014 uku huawei p10 ni 2017
Afu unit za iphone6 ziliuzwa nyingi sana lazima bei ishuke maana wauzaj ni wengi sana
 
Iphone haiwez kufa maana inatumia software yake pekee

Afu kingine iphone 6 ni ya 2014 uku huawei p10 ni 2017
Afu unit za iphone6 ziliuzwa nyingi sana lazima bei ishuke maana wauzaj ni wengi sana
Sio kwa dunia ya leo hapo Yi Wu kuna vijana wa kichina ni watundu wamepitiliza
 
Hlkuna kitu inatwa xiomi pocophone hapo China huyo iPhone atateseseka sana
 
Huawei iwe sawa na Iphone???acha umama mzee,halafu Huawei p20 unaanzaje kuilinganisha bei na Iphone 6???kwanini usiilinganishe na Iphone 6+,6s+au 7 na 7+????
 
Mimi natumia Huawei P8, ingawa ni ya siku nyingi kidogo, bado inatishia hizo wanazosema iPhone. Huawei ni simu nzuri sana. Sasa zimefikia P30 pro, iPhone bado ina kazi. China wana simu nyingi, za hadhi. Brand za kichina ndiyo kama: Huawei Honor, Huawei P series, Opp Find X, Nex, Xiaomi, Umidigi, ZTE, kiukweli ni simu nzuri sana

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…