mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
pambana na p8 yako mkuu,usilinganishe na simu za dunia ya kwanza.Mimi natumia Huawei P8, ingawa ni ya siku nyingi kidogo, bado inatishia hizo wanazosema iPhone. Huawei ni simu nzuri sana. Sasa zimefikia P30 pro, iPhone bado ina kazi. China wana simu nyingi, za hadhi. Brand za kichina ndiyo kama: Huawei Honor, Huawei P series, Opp Find X, Nex, Xiaomi, Umidigi, ZTE, kiukweli ni simu nzuri sana
Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
Hata hizo unazosema za dunia ya kwanza tumetumia na sasa tumeweka pembeni, dont become a single track thinker kwa kuwa umeaminishwa kuwa hiki ni bora tu, hakiwezi kudumu katika ubora forever. Mwanzoni magari ya kichina(mabasi) yalipoanza kuingia Tz, dharau ilikuwa kubwa sana. Leo ndiyo kimbilio. Kumbuka China na Korea ni nchi za dunia ya kwanza pia. IPhone X, ya sasa unaweza kuilinganisha na Samsung Note 9?pambana na p8 yako mkuu,usilinganishe na simu za dunia ya kwanza.
acha uongo ww huwezi kutumia Samsung note 8 halafu ukailinginisha na huawei p8 utakuwa kichwani siyo timamu kabisa,kwanza unaanzaje???Hata hizo unazosema za dunia ya kwanza tumetumia na sasa tumeweka pembeni, dont become a single track thinker kwa kuwa umeaminishwa kuwa hiki ni bora tu, hakiwezi kudumu katika ubora forever. Mwanzoni magari ya kichina(mabasi) yalipoanza kuingia Tz, dharau ilikuwa kubwa sana. Leo ndiyo kimbilio. Kumbuka China na Korea ni nchi za dunia ya kwanza pia. IPhone X, ya sasa unaweza kuilinganisha na Samsung Note 9?
Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
acha uongo ww huwezi kutumia Samsung note 8 halafu ukailinginisha na huawei p8 utakuwa kichwani siyo timamu kabisa,kwanza unaanzaje???
siyo ujuaji,kubali hali yako kama huna sema,siyo kujishebudua eti tushatumia sana tukaona hazina kitu,nikaamua kutumia P8[emoji16][emoji16][emoji16]lazima ugeuke kituko,tena mi nimeshangaa ule mshangao wa Dr Lwaitama.hah!Taarifa ndiyo hiyo, usilolijua litakusumbua...acha ujuaji
Soko la iphone limeshuka bei kwa sababu Iphone refurbished zimekuwa nyingi kuliko iphone halisi..asilimia kubwa ya iphone zinazouzwa kwenye nchi nyingi za Afrika ni refurbished ndio sababu nowdayz iphone zina matatizo mengi kwenye upande wa hardware kwa sababu sio Halisi japo zinafanya kazi kama iphone.Na wachina wanafanya hivi makusudu ili kuididimiza Apple wakati huo wao wakitengeneza Brand zenye quality nzuri kama Huawei,xiaomi Na simu kama Oneplus.nafikiri umeona Huawei P20 ilivyokuwa na ubora kuliko Iphone XUkisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Refub!![emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unawafamu wachina au unawasikia?
IPhone 6 hiyo 64gb kwa 450 tuView attachment 973279
Ila sidhani km iphone wanatetereka, maana soko lao lipo marekani, japan na uingereza zaidi kuliko china so still wapo vizuri sanaUkisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Limeshuka kwa takwimu za nani, usichukulie kuwa waagizaji wengi wakiagiza huawei, tecno, etc bila kuagiza iphone bas soko limeisha, kumbuka kuna watu huko nchi za mabara mengine wananunua kila toleo linalotoka na hawana ratiba ya kuacha kununua ikitokaSoko la iphone limeshuka bei kwa sababu Iphone refurbished zimekuwa nyingi kuliko iphone halisi..asilimia kubwa ya iphone zinazouzwa kwenye nchi nyingi za Afrika ni refurbished ndio sababu nowdayz iphone zina matatizo mengi kwenye upande wa hardware kwa sababu sio Halisi japo zinafanya kazi kama iphone.Na wachina wanafanya hivi makusudu ili kuididimiza Apple wakati huo wao wakitengeneza Brand zenye quality nzuri kama Huawei,xiaomi Na simu kama Oneplus.nafikiri umeona Huawei P20 ilivyokuwa na ubora kuliko Iphone X
Ila mkuu uko vema ...Ukisikia vita ya ya kibiashara ndio hii... Mchina kamuua iPhone, kampuni la kimarekani lililokuwa linauza simu za bei mbaya duniani kote... Simu za iPhone
Mchina baada ya kuona brand zake kubwa zinasuasua hasa Huawei huku iPhone zikibamba soko la China na kwingineko duniani, mchina akaja na fitina mbaya kabisa, chafu na ya kukarahisha....
Kwanza akaipromote simu yake ya Huawei, ikawa ni kampeni nchi nzima viongozi na matajiri wa china watumie Huawei kwakuwa ndio simu zinazowafaa watu wenye hadhi na nafasi katika jamii kama wao.... Taratibu sumu hii wakalishwa na wachina wengine kuwa ulitaka kuonekana wa maana basi tumia Huawei
Baada ya hapo ikaanza kampeni ya delete iPhone china... Kampeni hii iliambatana na kashfa ya kuwa iPhone ni simu za malaya na machangudoa... Hivyo yeyote anayetumia hizo simu kama hana hizo tabia basi ana vinasaba.. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji24][emoji23][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa ni kama kimbunga kikali sasa hivi iPhone 6 unaipata mpaka laki 5 wakati Huawei p10 si chini ya laki 7.... Tulio kwenye magroup ya biashara tunaona... Huawei kamfanya kitu mbaya sana iPhone....
Hasira ya mmarekani mzee wa kulipa visasi bado anatafakari dafrau hili
Taarifa ndiyo hiyo, usilolijua litakusumbua...acha ujuaji
Hio ni mbinu tu ya kiintelijensia ya kuuza iphone 6 yake mtoa mada! Ha ha ha ina maana bado ujaelewa tu!