Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

Asante sana
 
Bora sisi wengine huwa tuna komaa na Tecno tu, hata ije brand ya Flyover
 
It can be multi billions project, but the end product is rubbish!

Hivi hata demu ukimtongoza huku mkononi umeshika Huawei atakukubalia kweli? [emoji16][emoji16]
 
Kwa mwanamke kutumia tecno hakuna atakaekushangaa, ila Ungekuwa mwanaume hapo noma aseee!
Masikini akipata, matako hulia mbwata. Nimegundua ni ulimbukeni unaokusumbua. Siyo kosa lako, ni mindset ya ulimbukeni,it is very hard to make a correction of a corrupt mind

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Sent from your Huawei GRA-L09[emoji16][emoji16]

Umaskini wako ndio unakufanya utumie huo uchafu!

Pimbi we!
 
Note 4 ndio pekee zilijitahidi hata kwa features
Note 4 best note lakini hata zilizofuatia kuanzia matoleo ya S,J,A,C pamoja na note yanasimu nzuri uzuri wa samsung simu yoyote unayotumia una feel best performance,quality
 
Kwahiyo unataka kusema kuwa samsung galaxy note 9 ukiiweka na iPhone Xs max..bado hakuna ulinganifu hapo??
Samsung is the best brand ever kuanzia note 4 na matoleo mengine yapo poa sana yani ukimiliki hutojutia inatakiwa utunzaji tu maana ukivunja kioo super Amoled display ni very quality & expensive
 
Note 4 best note lakini hata zilizofuatia kuanzia matoleo ya S,J,A,C pamoja na note yanasimu nzuri uzuri wa samsung simu yoyote unayotumia una feel best performance,quality
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
pambana na p8 yako mkuu,usilinganishe na simu za dunia ya kwanza.
Dunia ya kwanza ipi? Kwa vigezo vipi? Kama ni uchumi wa juu basi China pia ni dunia ya kwanza maana anawasumbua vichwa hao unaofikiria wewe ni dunia ya kwanza. Anauza sana bidhaa kwenye nchi zao ila wao wanapata tabu sana kupenyeza bidhaa China.

Kinachofanya bidhaa za nchi za magharibi kuonekana za maana ni ukubwa wa bei lakini haimaanishi zina ubora zaidi ya zile za China.
China wanakutengenezea kitu kutokana na uwezo wako wa kifedha. Tanzania soko limeangukia kwenye bei poa na siyo ubora ndiyo maana tunaona vitu vya China ni fake kumbe ndo chaguo letu. Ndani ya China wanatumia vitu vyenye ubora hata hivyo kuna majimbo watu wanatumia vitu vyenye ubora wa chini kama Tanzania.

Gharama za uendeshaji na kodi nchi za magharibi ni kubwa na hazikwepeki.
iPhone software zao awali walikuwa wakitengenezea Marekani na ku-assemble hukohuko lakini gharama za uendesheji zilikuwa kubwa kiasi kwamba bei za simu zao ilikuwa siyo rahisi kushuka. Baadaye walianza kutengenezea software zao China na ku-assemble Marekani. Wana eneo kubwa tu mithili ya kijiji huko China lenye kiwanda cha kutengeneza software.

Hivyo mkuu usiwabeze wachina hawa ndo wakombozi wa uchumi wa dunia. Wakati wewe una wahusudu wazungu, wazungu wana wahusudu wachina kimya kimya
 
Marekani ndiyo aliyeanza fujo..
mara hoo! Vifaa vya Huwawei vinadukua siri za biashara za Wamarekani mara wachina wanainfringe copyright za bidhaa za US... sasa kuonyesha eti US wamechina/chill juzi kati wAmeiagiza Koloni lao Canada wamkamate CEO wa finance wa kampuni hii ya HUWAWEI... Na Trump anajitapa kwa kusema tutamtumia huyo CEO kubageini kibiashara na China! Sasa 'tiger' kakunjua makucha!! US wanatafutana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…