Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #241
Asante sanaHata hizo unazosema za dunia ya kwanza tumetumia na sasa tumeweka pembeni, dont become a single track thinker kwa kuwa umeaminishwa kuwa hiki ni bora tu, hakiwezi kudumu katika ubora forever. Mwanzoni magari ya kichina(mabasi) yalipoanza kuingia Tz, dharau ilikuwa kubwa sana. Leo ndiyo kimbilio. Kumbuka China na Korea ni nchi za dunia ya kwanza pia. IPhone X, ya sasa unaweza kuilinganisha na Samsung Note 9?
Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app