Bye bye iPhone.... Hutamsahau Mchina

anatafakari?wakati mkurugenzi wa huawei keshakamatwa canada na usa wamesema aende usa akashtakiwe huko,mchina amempiga mkwara mzito mcanada..

Unadhani kwa lile biti la China kwa Mkanada atafanya kumkabidhi US yule dada?

Subiri tu muda utasikia kapotea.
 
sasa mtoa mada yeye kosa lake nini?yeye sio mchina ni mtz,tena mpare,,kama iphone zote za bongo ni feki,basi balaa kubwa hili,inawezekana iphone dunia nzima ni feki,isipokuwa za marekani tu...tuhuma zako ni nzito na ngumu kuthibitisha,uagize iphone kupitia tigoshop au vodashop alafu zote ziwe feki,si hatari hiyo....
 
Aisee hii ndio jamii forum
Sasa mbona bei juu mzee, hizi marketing effort zako nimezikubali sana bro! Umetumia kitu ambacho wataalamu tunaita "buzz marketing." Lazma hio iphone ipate mteja ila ungefanya 300k ingependeza zaidi maana ni simu za malaya tu kwa sasa.
 
Vita imekolea. CEO wa Huawei mwanadada ambaye ni binti wa mwanzilishi wa Huawei anashikiliwa Canada kwa amri ya korti moja Marekani. Wanataka kuiua Huawei. Hawatengenezi simu peke yake. Mfumo wa 5G basically ni Huawei in terms of vifaa na teknologia. Hata Pentagon ni wateja wao. Ni vita kali.
 
UKITAKA KUJUA I PHONE FAKE FANYA HIVI: nenda setting bonyeza halafu general halafu about halafu scroll down check serial number put your serial number your have if it says you have invalid numbers ,your iphone is fake
 
Unadhani kwa lile biti la China kwa Mkanada atafanya kumkabidhi US yule dada?

Subiri tu muda utasikia kapotea.
ni ngumu sana,lakini kumbuka mchina ni soko zuri la biashara la nchi yeyote,maana wako wengi na ni matajiri,nafikiri hata canada ana makampuni yake mengi china,atachokoza vita mbaya sana....
 
Hizi zinaitwa jifariji kuponya jeraha, there is no way watampiku iphone,,,,,unapozungumzia neno fitna kiwanda chake.kiko marekani, mchina atauza wap hasa? Tuache ushabiki sana sana tuseme tu ukwel huawei ikiwekwa mezan na iphone x ukaambiwa chagua utapeleka mkono wap?
 
Mimi ninachojua mchina kaiba baadhi ya features za iPhone akatengeneza simu yake ya Xiaomi.

Kwa sasa anapambana kutifutia soko MAREKANI.

Lakini brand kubwa za simu China kama Oppo na Huawei zimeshindwa kupambana na iPhone hata wachina wenyewe baadhi wanavmia iPhone kutokana features zake hasa za kiusalama.

Hicho iPhone unazotuonesha zinaweza kuwa CLONE.


==========================================================
WHY CHINESE PEOPLE PREFER iPHONE OVER MADE IN CHINA PHONES.
 
Mbea msomi
 
ni ngumu sana,lakini kumbuka mchina ni soko zuri la biashara la nchi yeyote,maana wako wengi na ni matajiri,nafikiri hata canada ana makampuni yake mengi china,atachokoza vita mbaya sana....

Siku chache nimesoma BBC kuna official wa Canada kapotea China, hajulikani alipo.

Nadhani hiyo ni wakeup call.

US shida yake ni kibiashara lakini anasingizia National Security.
 
ila watumiaji wa iphone bwana[emoji23][emoji23]wanajionaga wao simu zao ndio bora tu, nilikaa siti moja na ka slay queen kalikuwa na 6 plain mda wote kapo bize na simu, nlivyokuwa natoa simu yangu mfukoni kakawa kananiibia natoa simu gani bahati nzuri namimi nilikuwa nlkuwa na samsung yangu kaliii imesimamia ukucha ikawa imekula kwake na 6 plain nayo ikapumzishwa tukawa marafiki hapohapo
 
Si kweli, mchina hasipo tumia iphone anaona hana simu kabisa! Pia Huawei ni brand ndogo sana kwa china, zipo matata zaidi na zinafanya vizuri katika soko la china!! Na utambue kuwa iphone pia uzalishwa china na kampuni tanzu ya iphone! iphone Black Diamond ndiyo simu yenye bei zaidi kuzidi gari ya gharama zaidi kwa sasa!!
 
nahisi iphone zina be assembled in china,ila sio made in china....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…