mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.
Nitawamiss sana, Luv u all
pia tuliona miti na milima.akikimbia.kurudi nyumaMlipita chalinze? hehehehe
kwenda kuishi Canada ndo Sababu ya kukufanya usirudi tena Tanzania? tena nchi yako ya asili kabisa, bila Shaka unaenda kufa si bure, yaani kweli upo tayari kuumisi ugali wa dona na rost ya kitimoto? ugali wa nyanya ntole, msusa na mlenda? maisha ya kupigana mizinga, Canada kuna maisha ya upweke sana kama ilivyo tu ktk mataifa yote tajiri, yaani hakuna hata kushirikiana kwenye misiba, Pole sana ndugu yangu, niliwahi kuwa na akili ndogo kama zako nikidhani haitakaa itokee tena nikarudi nyumbani, mbona nilirudi mwenyewe, Kama umri wako ni over 18 utarudi tu, otherwise ni taahira.Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.
Nitawamiss sana, Luv u all
Kasome shule achana na JF wanakukomaza ..wenzako ni DEGREES HOLDERS hatuna kazi ..kazi yetu kubwa kuikosoa serikali JF [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ha ha unafikiri kuna lingne JF zaidi ya watu kujiona wasomi na viji BACHELOR DEGREE VYAO vya social work na political science na wale waliokataa kwenda kufundisha sekondari after VYUO vikuu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ha ha haaa na kweli Kazi 1 kukosoa serikali tu
Aliyekuambia JF Haipatikani Hata Huko Ni Nani? Acha SHOBO! JF Hata Kwa Sir God ( Mbinguni ) Ipo Available. Tunashukuru Kwa Mashauzi!
asanten sna mliontakia safar njema. tumefka salama. mazngra ya hku ni mazur sna. nyumban kna wireless ntakuwa nawapatia habar za uku kla cku. nkiwepo home