Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.

Nitawamiss sana, Luv u all

Kwa hiyo?
 
Wabongo kwa show, wewe mwenye hii username hua una vituko sana. Yaani post zako zote umekua ka Miriam Odemba.
 
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.

Nitawamiss sana, Luv u all
kwenda kuishi Canada ndo Sababu ya kukufanya usirudi tena Tanzania? tena nchi yako ya asili kabisa, bila Shaka unaenda kufa si bure, yaani kweli upo tayari kuumisi ugali wa dona na rost ya kitimoto? ugali wa nyanya ntole, msusa na mlenda? maisha ya kupigana mizinga, Canada kuna maisha ya upweke sana kama ilivyo tu ktk mataifa yote tajiri, yaani hakuna hata kushirikiana kwenye misiba, Pole sana ndugu yangu, niliwahi kuwa na akili ndogo kama zako nikidhani haitakaa itokee tena nikarudi nyumbani, mbona nilirudi mwenyewe, Kama umri wako ni over 18 utarudi tu, otherwise ni taahira.
 
Kasome shule achana na JF wanakukomaza ..wenzako ni DEGREES HOLDERS hatuna kazi ..kazi yetu kubwa kuikosoa serikali JF [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ha ha haaa na kweli Kazi 1 kukosoa serikali tu
 
Ha ha haaa na kweli Kazi 1 kukosoa serikali tu
Ha ha unafikiri kuna lingne JF zaidi ya watu kujiona wasomi na viji BACHELOR DEGREE VYAO vya social work na political science na wale waliokataa kwenda kufundisha sekondari after VYUO vikuu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kama kazi zenyewe ni hizi za Maguu usishangae ukarudi mwezi ujao.........

Bye bye. .......
 
Back
Top Bottom