Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

hata ukiwa canada JF imafanya kazi kama kawaida so isiwe kisingizio cha kutukimbia humu...safari njema mkuu.
 
We nae usituchoshe na kilio Chako.
Komaa na ukaze buti hapa hapa Bongo.

Utafanikiwa tu someday.

Hope atakuelewa.........hapa hapa bongo anaweza ishi kama Canada akiamua......
 
Sidhani kulikuwa na haja ya kutumia neno unatuaga sababu hata utakapo kuwa canada utakuwa bado unaweza ku access jamii forum sababu this is an online application,ulicho takiwa kufanya kwenye hii thread ni kutoa taarifa kuwa unahama tz.

Wee ujui njia ya mwongo ni fupi?
 
kweli utoto raha
 
Had roho inaniuma sema kweli jamn coz anaondoka jehanam anaenda peponi hongera bna kwa kuihama tz ngoja na sisi tujitahid tuuikimbie

Jehanam kwako, pepo ipo ata hapa.Jibidishe, omba Mungu na usikate tamaa, mafanikio ni popote na mchagua jembe sio mkulima.
 
Hahahaaaa drs la pili hilooo
 
Sidhani kulikuwa na haja ya kutumia neno unatuaga sababu hata utakapo kuwa canada utakuwa bado unaweza ku access jamii forum sababu this is an online application,ulicho takiwa kufanya kwenye hii thread ni kutoa taarifa kuwa unahama tz.

cjui km uko kuna forum. km ikiwepo ntakuwa naingia ya uko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…