Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

nnawaaga my fellow memberz kesho 2nasafir mi na wazaz wngu na wadogo zangu 2nahama tanzania. wazaz wangu wanaamishia makaz canada kikaz. ntamaliza my secondary ed & uni uko uko mungu akpenda. cna uhakika km ntarud tena tanzania. ntawamiss sna. luv u all

hata ukiwa canada JF imafanya kazi kama kawaida so isiwe kisingizio cha kutukimbia humu...safari njema mkuu.
 
We nae usituchoshe na kilio Chako.
Komaa na ukaze buti hapa hapa Bongo.

Utafanikiwa tu someday.

Hope atakuelewa.........hapa hapa bongo anaweza ishi kama Canada akiamua......
 
Sidhani kulikuwa na haja ya kutumia neno unatuaga sababu hata utakapo kuwa canada utakuwa bado unaweza ku access jamii forum sababu this is an online application,ulicho takiwa kufanya kwenye hii thread ni kutoa taarifa kuwa unahama tz.

Wee ujui njia ya mwongo ni fupi?
 
nnawaaga my fellow memberz kesho 2nasafir mi na wazaz wngu na wadogo zangu 2nahama tanzania. wazaz wangu wanaamishia makaz canada kikaz. ntamaliza my secondary ed & uni uko uko mungu akpenda. cna uhakika km ntarud tena tanzania. ntawamiss sna. luv u all

kweli utoto raha
 
Had roho inaniuma sema kweli jamn coz anaondoka jehanam anaenda peponi hongera bna kwa kuihama tz ngoja na sisi tujitahid tuuikimbie

Jehanam kwako, pepo ipo ata hapa.Jibidishe, omba Mungu na usikate tamaa, mafanikio ni popote na mchagua jembe sio mkulima.
 
Umenikumbusha kitabu cha "Kusoma" cha darasa la pili enzi hizo elim ni elimu katika kichwa chwa habari kilichosomeka "KUHAMA" tulikuwa tunasimamishwa mmmoja mmoja kusima. Kilianza hivi:

"Kuhama. Mimi na Baba yangu, na Mama yangu, na wadogo zangu na dada yatu tulihama.

Mimi na Baba yangu tulikaa nyuma. (ya roli la mchanga) Mama na dada na wadogo zangu walikaa mbele.

Tuliona miti na milima ikikimbia kurudi nyuma!...."

Wazee wenzangu watakumbuka!

Hahahaaaa drs la pili hilooo
 
Sidhani kulikuwa na haja ya kutumia neno unatuaga sababu hata utakapo kuwa canada utakuwa bado unaweza ku access jamii forum sababu this is an online application,ulicho takiwa kufanya kwenye hii thread ni kutoa taarifa kuwa unahama tz.

cjui km uko kuna forum. km ikiwepo ntakuwa naingia ya uko.
 
Back
Top Bottom