Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u


Asante sana ndugu, Daaah! Umenikumbusha mbaaaali sana aiseee!
 
Nikajua mnahama kutoka magomeni kwenda magogoni,kumbe uchaguzi bdo wasalimie kanada waambie waache ushonga bongo hatuwafagilii.!
 
Hahahahaha dogo acha ushamba ni mambo ya kawaida......Ingekuwa huko Ulaya na Marekani mambo mazuri basi tungewaona wabongo wengi wakija kuturingishia mambo yao mazuri ya kutoka huko majuu.....kaka kule maisha magumu sana ndio maana ndugu zetu walioko huko wanaogopa kurudi....Tembea uone mengi..
 
Asante sana ndugu, Daaah! Umenikumbusha mbaaaali sana aiseee!
Kumbukumbu mujarabu pia ni dawa sahihi ya mfadhaiko wa akili hasa unaotokana na mihangaiko ya siku nzima ya kutafuta riziki yako na kwa ujenzi wa taifa lako! Nimejifunza kitu kupitia quote yangu kuwa wengi wetu miaka ile ya tisini tulikuwa aidha shule ya msingi au sekondari!
 


usiwasemee wote ,kama wa kwenu hawarudi usimjulishe wote
 

Dah ww ----- unakumbukumbu kali sana.... Naikumbuka hiyo story
 
We nenda na nchi tutachukua, kisha tutamfuata huyo mzazi wako arudishe hela zetu halafu atumikie adhabu yake segerea. Akimaliza adhabu yake atarudi huko Canada mwendelee na maisha. Pia kama ukipita pale kwa Obama,mpe taarifa yule marehemu aliyekufa akazikwa kwa magumashi kwamba tutamfuata nayeye hata akiwa skeleton ili aje arudishe pesa yetu na atuambie wenzake waliogawana naye. Sisi tuna shida na pesa yetu,hakika baba yako atazirudisha tu hata mwende mwezini.
Safari njema na safiri salama.
 
Aaga mtaani kwenu. Hapa JF ni kijiji haijalishi uko wapi tuko pamoja.
 
Nlikuwa najiulizaga sana kila nkisoma vi"threads" vyako,kumbe bado dent tena wa secondary,alaf hujakarbia hata kumaliza 😄 😄 😄 😄,(huku uliishia laboratory rules ktk chemia jitahid na huko zinaweza kukusaidia maana lab ni zile zile)
 
mimi nipo CANADA niambie mtafikia wapi niwapokee!!!!!!!!!! wewe, baba, mama na wadogo zako. :A S wink::A S wink:
 
Ukifika uko usiwe na wasi utaweza bado kuingia jamii forum. Nakutakia kila la kheri
 

Canada bado ni habari ya mjini kuingia kuishi ukizingatia vinavyohitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…