Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

asanten sna mliontakia safar njema. tumefka salama. mazngra ya hku ni mazur sna. nyumban kna wireless ntakuwa nawapatia habar za uku kla cku. nkiwepo home
 
Mimi nipo Mars na ninaipata Jf.........nini Canada bana.............

Hata Mimi nipo mgwashi sitimbi huko Bumbuli wala umeme haupo na hakuna 3G kuna G lakini JF naipata fresh swaafi hahahahahahah
 
asanten sna mliontakia safar njema. tumefka salama. mazngra ya hku ni mazur sna. nyumban kna wireless ntakuwa nawapatia habar za uku kla cku. nkiwepo home

haya ila usisahau masomo ni muhimu hivyo soma kwa bidii mpaka wazungu washangae.

hapo ulipoandika wireless mmmh wireness nini? au unamaanisha wireless internet, kama ndio hivyo basi vizuri ila angalia usije ukawa addicted na mitandao.
kila la kheri
 
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.

Nitawamiss sana, Luv u all

Ukikua utajua hata huko canada jf ipo. Mm niko USA mwaka wa kumi sasa na jf ni kama Mcdonalds!
 
Umenikumbusha kitabu cha "Kusoma" cha darasa la pili enzi hizo elim ni elimu katika kichwa chwa habari kilichosomeka "KUHAMA" tulikuwa tunasimamishwa mmmoja mmoja kusima. Kilianza hivi:

"Kuhama. Mimi na Baba yangu, na Mama yangu, na wadogo zangu na dada yatu tulihama.

Mimi na Baba yangu tulikaa nyuma. (ya roli la mchanga) Mama na dada na wadogo zangu walikaa mbele.

Tuliona miti na milima ikikimbia kurudi nyuma!...."

Wazee wenzangu watakumbuka!

Umenikumbusha mbali sn. Mfn tola njaa kulia gizani...
 
Umenikumbusha kitabu cha "Kusoma" cha darasa la pili enzi hizo elim ni elimu katika kichwa chwa habari kilichosomeka "KUHAMA" tulikuwa tunasimamishwa mmmoja mmoja kusima. Kilianza hivi:

"Kuhama. Mimi na Baba yangu, na Mama yangu, na wadogo zangu na dada yatu tulihama.

Mimi na Baba yangu tulikaa nyuma. (ya roli la mchanga) Mama na dada na wadogo zangu walikaa mbele.

Tuliona miti na milima ikikimbia kurudi nyuma!...."

Wazee wenzangu watakumbuka!

Nimecheka sana. Hii ndo jf
 
haya ila usisahau masomo ni muhimu hivyo soma kwa bidii mpaka wazungu washangae.

hapo ulipoandika wireless mmmh wireness nini? au unamaanisha wireless internet, kama ndio hivyo basi vizuri ila angalia usije ukawa addicted na mitandao.
kila la kheri
namanisha wifi. asnte ntasoma kwa bdii
 
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.

Nitawamiss sana, Luv u all

Have safety journey and welcome ... My dear huku ukishakaa kwa muda trust me you will miss home Tz so much.. Maisha ya huku yanachosha kuna kipindi. Too much stress.. Please you are blessed to get a opportunity to study here in Canada please I beg you, use this chance wisely and always listen to your parents and keep God in everything you do .. I wish you the best ... Thanks..
 
Umenikumbusha kitabu cha "Kusoma" cha darasa la pili enzi hizo elim ni elimu katika kichwa chwa habari kilichosomeka "KUHAMA" tulikuwa tunasimamishwa mmmoja mmoja kusima. Kilianza hivi:

"Kuhama. Mimi na Baba yangu, na Mama yangu, na wadogo zangu na dada yatu tulihama.

Mimi na Baba yangu tulikaa nyuma. (ya roli la mchanga) Mama na dada na wadogo zangu walikaa mbele.

Tuliona miti na milima ikikimbia kurudi nyuma!...."

Wazee wenzangu watakumbuka!
Mlipita chalinze? hehehehe
 
Mmh humu JF kiboko,mtu kawaaga lakin full kukosolewa na kudhihakiwi eeh mbona hampendeki..kazi yake huko Canada ni kusoma sio kuchati.mbadilike
 
Back
Top Bottom