Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Ha ha ha.........nipo poa sana.........juzi Kati hapa nilifurahi kukuona...........
ayaaaaaah ilikuwa pande zipi kamanda wangu?hebu twende chemba tusiharibu uzi wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha.........nipo poa sana.........juzi Kati hapa nilifurahi kukuona...........
Mimi nipo Mars na ninaipata Jf.........nini Canada bana.............
vyakula havina ladha. fruits n testless. tanzania kna vyakula vzur sna
asanten sna mliontakia safar njema. tumefka salama. mazngra ya hku ni mazur sna. nyumban kna wireless ntakuwa nawapatia habar za uku kla cku. nkiwepo home
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.
Nitawamiss sana, Luv u all
Umenikumbusha kitabu cha "Kusoma" cha darasa la pili enzi hizo elim ni elimu katika kichwa chwa habari kilichosomeka "KUHAMA" tulikuwa tunasimamishwa mmmoja mmoja kusima. Kilianza hivi:
"Kuhama. Mimi na Baba yangu, na Mama yangu, na wadogo zangu na dada yatu tulihama.
Mimi na Baba yangu tulikaa nyuma. (ya roli la mchanga) Mama na dada na wadogo zangu walikaa mbele.
Tuliona miti na milima ikikimbia kurudi nyuma!...."
Wazee wenzangu watakumbuka!

namanisha wifi. asnte ntasoma kwa bdiihaya ila usisahau masomo ni muhimu hivyo soma kwa bidii mpaka wazungu washangae.
hapo ulipoandika wireless mmmh wireness nini? au unamaanisha wireless internet, kama ndio hivyo basi vizuri ila angalia usije ukawa addicted na mitandao.
kila la kheri
ndio. nmefka tar 21Umeshafika.........?......
vyakula havina ladha. fruits n testless. tanzania kna vyakula vzur sna
Ninawaaga my fellow members kesho tunasafiri mi na wazazi wangu na wadogo zangu tunahama Tanzania. Wazazi wangu wanaamishia makazi Canada kikazi. Nitamaliza my secondary education & university huko huko Mungu akipenda. Sina uhakika kama nitarudi tena Tanzania.
Nitawamiss sana, Luv u all
Mlipita chalinze? heheheheUmenikumbusha kitabu cha "Kusoma" cha darasa la pili enzi hizo elim ni elimu katika kichwa chwa habari kilichosomeka "KUHAMA" tulikuwa tunasimamishwa mmmoja mmoja kusima. Kilianza hivi:
"Kuhama. Mimi na Baba yangu, na Mama yangu, na wadogo zangu na dada yatu tulihama.
Mimi na Baba yangu tulikaa nyuma. (ya roli la mchanga) Mama na dada na wadogo zangu walikaa mbele.
Tuliona miti na milima ikikimbia kurudi nyuma!...."
Wazee wenzangu watakumbuka!
Alishafika toka mwaka Jana mwezi wa sitaall the best.............BonVoyage