Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Anakupenda kwasababu unampenda.
Watoto wa kiume hua walaini kwa mama zao, na wa kike kwa baba zao. Ni ile attention ya 'different sex'. . .
Umenichekesha kweli yaani unawaza kumkomesha mama wa wat ukwanini lakini wewe mzee?????
.... Na haya maisha ya mimi na mama Matesha wangu kubaki peke yetu nyumba nzima, si honeymoon nyingine hii wajameni? Atanikomaje?
rafiki hata mimi nilijiuliza hili swali................................... kama namwona vile anavyomkoma! ha haaaaaaaaaaBabu bwana? Asa Mama Matesha atakukomaje kivipi??
Kiongozi subiri na wewe yakukute. Ukubwa dawa bana!Inawezekana umefuga mbwa wakali sana, kwahiyo kabinti kanafurahia kutoka kifungoni. lol
btw, Kweli mzee mzima yamekukuta...!!! bye daddy imekuganda sikioni, kwani alikunong'oneza?😛hoto:
najua rafiki, kama nawaona vile....................... mkumbuke tu kufanya ukaguzi kwenye kila kiwanja, mnaweza mkapata wageniHahahah rafiki bana. Hapo namaanisha kutakuwepo na viwanja vingi vya "baba na mama"
Aisee! Kumbe wagonjwa wa mabinti zetu tuko wengi eh?kiukweli nampenda sana mdingi wangu aisee.uspime i thinki nae ananilove sana yaani daily lazima anicall.yaani anamshinda hata mpenzi
umenikumbusha naenda holiday wk ijayo tar 14 feb lazima nile na mdingi wangu
he is my happyness
Duh! Mpaka nimemwonea wivu baba yako asee. Kupendwa raha bana!Pole babu japo ni kawaida sana kwa wababa kupenda mabinti zao na huwa inatokea tu hata sijuagi 7bu coz hata mie na dady wangu ni dam dam!!
Dah! haki yanani mie napenda sana babangu aisee,
Na yeye anapenda mpaka ana jina special analoita,
Nakumbuka nikiwa bado mdogo mama alinichukia kisa napendwa na baba,
Tena first born acha kbs,baba alipiga marufuku mie kuchapwa wala kugombezwa,
Mama mpaka akawa wanasusa mitoko tukawa tunajiachia na baba tu kwa raha zetu,
Mama akafanya mpango nikapelekwa kuishi kwa bibi hapo ndio akaharibu kila wiki end baba anakuja na kumwacha mama hm peke yake,ikabidi nirudishwe tena hm yan mpaka nilipoenda 4n 1 boding ndio mama akapumua lol,
Mpaka na ukubwa huu baba hawezi kulala bila kunitakia usiku mwema,vocha napunguziwa yani tunapendana acha kbs!
Nashukuru mungu mama siku hizi ameshaelewa anamtaniaga baba kuwa siku nikiolewa ndio atajijua kwan nitakuwa kwenye himaya nyingine hata kupiga simu usiku itabidi ajifikirie lol1
4sure nampenda sana baba yangu, na mungu ampe maisha marefu aje awaone wajukuu zake.
Hehehehe....... kumbe?mimi huwa namind sana kabint kangu kanapokuwa close na dad wake, mpaka kuna kipindi nakatimua............. lakini nikikumbuka jinsi ambavyo mamangu alikuwa ananiruhusu kuendesha baiskeli ili tu niwape nafasi ya kuongea na dad najisemea "kutesa kwa zamu"
Hahaha... na umri huu na uchumi huu nani anataka wageni? Nlifikiri utanishauri tusijefanya "tabia mbaya" kwenye uwanja wa watoto lolnajua rafiki, kama nawaona vile....................... mkumbuke tu kufanya ukaguzi kwenye kila kiwanja, mnaweza mkapata wageni
ndo maana yake...................... mnaweza umbukaHahaha... na umri huu na uchumi huu nani anataka wageni? Nlifikiri utanishauri tusijefanya "tabia mbaya" kwenye uwanja wa watoto lol
Aisee! Kumbe wagonjwa wa mabinti zetu tuko wengi eh?
Duh! Mpaka nimemwonea wivu baba yako asee. Kupendwa raha bana!
Hehehehe....... kumbe?
Kumbe ile "umeanza kudeka na baba yako, hebu kafanye homework kule" ni sehemu ya kawivu flani eh?
Homework ikiisha kukata vitunguu, hata kama siku hiyo haupikwi wali anapewa mchele kuchambua in advance.Hehehehe....... kumbe?
Kumbe ile "umeanza kudeka na baba yako, hebu kafanye homework kule" ni sehemu ya kawivu flani eh?
Kiongozi subiri na wewe yakukute. Ukubwa dawa bana!