"Bye Daddy"...... Dah!!!


canty, hv ww upo?? kimya sana, mzima??
 
hahahaha....hapa babu umeuza chai kidogo. Naona umeamua kutufurahisha!!!😛oa😛oa:lol::lol:
 
Ndo maana ile thresd ya jana ya MJ1
Ya kuwa na mtoto mmoja
awe ni binti afu unakuta ka-fall kwa dereva ya pikipiki au shamba boy
Mtu ambaye unajua kabisa hana future naye
Hupampiga mtu risasi kama DIto?

Mtoto mmoja ni balaa jamani
Au unakuwa na kijana wako mmoja
Anaoa, sasa atension inahamia kwa mke
Ndo maana akina mama mkwe wanakuwa wabaya
Utaibaje penzi la mtoto wake, afu ndo awe the only and only one?!


Hakuna kitu nachukia kama boarding kwa watoto jamani

...ohooo,

Dada'ngu, it's to early kuleta nyimbo mbaya bana, I can't imagine ka princess kangu kana fall in love kiasi cha kuacha kunisikiliza aisee, eti Aspirin unaonaje? tayari ushaanza fikiria mume atayekuwa anamlamba makofi binti yako
?
 
...ohooo,

Dada'ngu, it's to early kuleta nyimbo mbaya bana, I can't imagine ka princess kangu kana fall in love kiasi cha kuacha kunisikiliza aisee, eti Aspirin unaonaje? tayari ushaanza fikiria mume atayekuwa
anamlamba makofi binti yako
?
Huyu ADI anataka kuturusha roho mheshimiwa moskwito, sijawahi kumlamba binti yangu makofi sasa kufikiria kuna mtu atanilambia binti yangu makofi.... sipati picha nikikutana naye. Siku zote kamekuwa kananisikiliza na kuiniona mie Mungu-Mtu wake afu ghafla bin vuu kanakupotezea kwakuwa tu kamepata mwanaume mwingine kanakomsikiliza zaidi.... Tena kanamsikiliza hata kama kanachapwa makofi kila uchao.... Mungu apitishe mbali!
 
Vigezo na mashjarti kuzingatiwa....
Nchi lazima ijengwe
Kodi lazima zilipwe
Kiu lazima kikatwe
Tabenako lazima izingatiwe
Na Ndoa Lazima iheshimiwe na watu wote
 
hahahaaaa ... i love u with passion!
pal, kiukweli babu anajua "kulea" ... he is a gud daddy!
ameonyesha njia na mfano mzuri kwa wajukuu, nampa kudos for that!


Madabwada you know it is not good to make an old gal blushing....:A S embarassed:

Na please usimsifie saana babu, atatusumbua home.
 
Hahahahhahah!
Asante bana,
Na kweli bana mie mtoto wa dingi tu hata mamangu analijua hilo aisee!
Vp kwako haijakutoea ukamzimikia binti ako?

dah, canty, usinikumbushe machungu! kila jioni akisikia geti tu linafunguliwa, lazima atatoa kasauti kake "dadie" huku anakuja mbio kuni hug! asubuhi kumuacha wakati ninakuja kwa mkoloni nako ni kasheshe ... am missing her "heavenly chums and mwaas" ... its touchy aisee ... ndio maana ninaelewa positions za babu na mbu kwa daughters zao!
 
hahahah!...

apo juu kwenye vigezo na masharti hapo umesahau kuwa "mabaa-medi lazima wapewe stahili zao"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…