Mkuu kwani ulikuwa unaniwazia the other way round? mbona post zangu nyingi zinajieleza? hakuna cha kuficha
Dah!kiukweli raha sana kupendwa na baba,dah, canty, usinikumbushe machungu! kila jioni akisikia geti tu linafunguliwa, lazima atatoa kasauti kake "dadie" huku anakuja mbio kuni hug! asubuhi kumuacha wakati ninakuja kwa mkoloni nako ni kasheshe ... am missing her "heavenly chums and mwaas" ... its touchy aisee ... ndio maana ninaelewa positions za babu na mbu kwa daughters zao!
Wajameni salaam kwa mpigo.
Ukubwa dawa wajameni......
Hii biashara ya mabinti na baba zao kuwa "washkaji" sijui imetokea wapi. Jana nlikapeleka kabinti kangu kapendwa shule kuanza maisha rasmi ya boarding. Shule imekomaa mabinti lazima wahamie hostel kwa ajili ya maandalizi ya "kufa mtu" ya mitihani ya kitaifa mwaka huu. Ikawa haina jinsi.....Sikuwahi kuwaza kabinti kangu kataenda boarding katika elimu ya msingi asee.....
Tumekapeleka haka kabinti nikiwa na mama yake.... wakati ndo tunamkabidhi kwa "wazazi wake wapya" kabinti kakatoka mbio na kunirukia na kuniambia "Bye daddy"... kisha hakooo kakatokomea..... Cha kustaajabisha, mamake alipewa bye ya mbaaaali lol
Hii "bye daddy" bado haijatoka masikioni asee.... kwamba ntarudi home leo bila kulakiwa na kamatesha kangu... damn!.... Na haya maisha ya mimi na mama Matesha wangu kubaki peke yetu nyumba nzima, si honeymoon nyingine hii wajameni? Atanikomaje?
Baada ya kusema hayo naomba msaada...... Eti kuna kitu gani kinawafanya mabinti "wazimike" namna hii kwa baba zao? Ni kwanini mababa wengi nao pia wanakuwa kama "wamelogwa" na mabinti zao? (Hapa ODM nakiri, vibinti vyangu navizimikia kinoma asee... tena haka kamatesha ndo usiseme.....)
Bye Daddy... dah!
Nimekuona mahali nikaamua kukupa hi,
Leo babu kanimumbusha mbali sana aisee,
Dah!kupendwa na baba raha sana,
Sijui wakati wangu ukifika nitakubaliana na hali hiyo!!!
pal, kwa kweli shem yako anastahili sifa bana, tusimbanie!
Sijambo Anti. Niko busy kidogo naosha vyombo hapa, ila nachungulia pia jukwaa kimachale machale.Marhaba... hujambo?
Dah!kiukweli raha sana kupendwa na baba,
Ila wamama huwa hawaipendi kbs hiyo situation,
Mpaka sasa ata sielewagi ni wivu au basi tu!!!
Nasubiri wakati wangu nijionee itakuwaje?au nitajisikiaje?
Nimefurahi kwa salamu dear.... Seriously speaking hata mimi nimemkumbuka marehemu baba yangu.... Alikua ananipenda mno!
Sijambo Anti. Niko busy kidogo naosha vyombo hapa, ila nachungulia pia jukwaa kimachale machale.
Sikujua kumbe hata mie wanioneaga wivu lol
..asee ashadii apo juu umenifurahishaaajeeeeee?
Wamekwisharudi kwa kasi ile ile!!!!...............Bye dadii!
mmmh! Leo kumekuchaje? mbona sifa nyingi saana kwa ODM? (you will have to tell me what am missing Pal)
Shukuru Mungu wewe sio yule dady wa .........manufacturing of teachers..........!!Hii post lazima shem wangu aililie wivu hii.......
Mzima kiongozi?
Bye Daddy.......... dah!
Hii post lazima shem wangu aililie wivu hii.......
Mzima kiongozi?
Bye Daddy.......... dah!
so sad! hopefully "the one" has covered the vaccum!
kwa kweli na-deserve hiyo sorry........... I am so gender sensitive!sikuwahi ona hilo aisee, honestly i always was defining u the other way round! ... deeply sorry!
Naomba mungu anisaidie,nisije nikajisikia vibaya binti yangu akipendana na baba yake lol!that is nature my dia, kuna mtu ameilezea vizuri tu hiyo hali, just prepare yourself for the best!