DR SLAA ni Dr wa Kweli kwa kusomea na si wa kupewa!!!! isije ikawa unafikiri udokta wake ni chakupewa!!!!!!!!!!! DR SLAA NI DOKTA WA PHILOSOPHY with Dergees in Theology
Doctor of Philosophy (PHD) in Cannon Law
nashukuru wadau wameshakushushia macv ya dr slaa, sasa hata mimi nina swali kama lako, hebu tushushie hapa cv za dr kikwete ili tuone na yeye alivyousotea huo udoctor darasani. Pls mwaga cv zake hapa.
Doctor of Philosophy (PHD) in Cannon Law
Kaka sikonge, udokta wa kutibu ni tofauti kabisa na phd. Hata ukimaliza leo MD pale MUHAS utaitwa dr ila huna phd. ukitaka phd lazima ufanye masters then phd au ufanye masters ya hasa by dissertation then u publish enough papers kwenye good accredited journals hapo chuo husika kinaweza ku convert your masters directly to phd after significant reviewing from external strong reviewers (profs). Watu wachache sana huweza ku convert masters to phd kwani huwa ni risk, ukiwa na weak thesis mainly isiyo na enough strong publications unaweza fail na kukosa vyote (yani masters hupewi na phd hupewi). Hivyo mara nyingi supervisors ndo wanakuja na ushauri huo wa ku convert to phd kwa wanafunzi wao baada ya kuona wanafunzi wao ni strong.
Nafikri maelezo yangu yanatosha kukufungua brother.
Sikonge...Canon Law, the Canon law of the Catholic Church, is a fully developed legal system, with all the necessary elements: courts, lawyers, judges, a fully articulated legal code and principles of legal interpretation. The academic degrees in canon law are the J.C.B. (Juris Canonici Baccalaureatus, Bachelor of Canon Law, normally taken as a graduate degree), J.C.L. (Juris Canonici Licentiatus, Licentiate of Canon Law) and the J.C.D. (Juris Canonici Doctor, Doctor of Canon Law). Because of its specialized nature, advanced degrees in civil law or theology are normal prerequisites for the study of canon law.
Sasa niambieSlaa kabla ya kuwa enrolled na hiyo canon law amesoma wapi Advance degree ya civil law or thoeology ambayo kama inavyosema hapo ni prerequisites.... kama unafahamu ni nini? na usitudanganye ukimaliza Md Russia siyo sawa na master na kwa taarifa yako Russia MD wanasoma miaka sita na ukirudi tz unakuwa ni sawa na Md alimaliza Tz na internship unafanya...
Sasa mbona Philosophy ya MKE mmoja mpaka kufa imemshinda????????????????
Samahanini nilikuwa sijui kama hii maada imeshajadiliwa lakini kuna kitu kinanishangaza hapa.
St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980 1981 ADV DIPLOMA
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977 1981 PHD.nikiangalia hiyo miaka hapo na inaonyesha ni vyuo viwili tofauti na amechukukuwa hiyo Phd bila ya kuwa na undergradute degree au master degree na inaonyesha ameanza kusoma Phd hata bila ya kuwa na advance diploma
kwani amekuwa enrolled kwa kozi ya Adv diploma tayari akiwa ni mwanafunzi wa Phd kwa miaka 3 ni vichekesho kweli kweli...sijui kama angepeleka uozo huo wa certificates zake TCU wangekubali.....kwani mimi Slaa naona ni sawa na watu wa CCM wanaonunua Phd zao au wanazotunukiwa kwani alikuwa hana sifa za kuchukua hiyo Phd na hana sifa hata za kuwa tutor wa chuo
P:S Slaa ni mchakachuaji tu wa elimu kama Mkwere( mkwere pia ana afadhali kwani ana degree )
Theology is very relevant but is not going to help anyone design engines or other smart systems. Its all about interpreting the teachings of the CHurch fathers..etc..lol
Mnyonge mpeni haki yake jamani JK he was one of the best students pale mlimani na msidhani hiyo degree ya theologia inaweza kufanana na experience ya leadership ya JK. Niwaulize swali dogo tu JK ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani? na slaa ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani?
sikonge...canon law, the canon law of the catholic church, is a fully developed legal system, with all the necessary elements: Courts, lawyers, judges, a fully articulated legal code and principles of legal interpretation. The academic degrees in canon law are the j.c.b. (juris canonici baccalaureatus, bachelor of canon law, normally taken as a graduate degree), j.c.l. (juris canonici licentiatus, licentiate of canon law) and the j.c.d. (juris canonici doctor, doctor of canon law). Because of its specialized nature, advanced degrees in civil law or theology are normal prerequisites for the study of canon law.
sasa niambieslaa kabla ya kuwa enrolled na hiyo canon law amesoma wapi advance degree ya civil law or thoeology ambayo kama inavyosema hapo ni prerequisites.... Kama unafahamu ni nini? Na usitudanganye ukimaliza md russia siyo sawa na master na kwa taarifa yako russia md wanasoma miaka sita na ukirudi tz unakuwa ni sawa na md alimaliza tz na internship unafanya...
Sikonge ...hata unachokiongea hukijui na unalete blaa balaa tu na pengine hiyo shule hujaenda, mimi siyo mbumbumbu kama wewe.kaka tatizo mtu unakuwa na master au Bachelor it doent matter ya nini sasa huyo ulitolea mfano hapo ana MBA na hata hajasomea biashara lakini jua ya kuwa ana Bachelor ya IT na ndiyo maana amechukua MBA.kitu muhimu hapo ana degree ya kwanza wewe inaonyrsha huo utaratibu wa kusoma hata huujui. lakini sasa Slaa hana hiyo degree ya kwanza wala master hana iwe ya kitu chochote kile basi hana. sasa inakuwaje amesomea PHd moja kwa moja na hiyo Phd yake ina masharti ambayo yamekwisha kuwekwa lakini yeye alikuwa hana ngojea ninakuwekea tena inaonyesha wewe hujui kabisa kitu kinaongelewa hapa..Canon Law, the Canon law of the Catholic Church, is a fully developed legal system, with all the necessary elements: courts, lawyers, judges, a fully articulated legal code and principles of legal interpretation. The academic degrees in canon law are the J.C.B. (Juris Canonici Baccalaureatus, Bachelor of Canon Law, normally taken as a graduate degree), J.C.L. (Juris Canonici Licentiatus, Licentiate of Canon Law) and the J.C.D. (Juris Canonici Doctor, Doctor of Canon Law). Because of its specialized nature, advanced degrees in civil law or theology are normal prerequisites for the study of canon law.
Hebu niambie sikonge Slaa alikuwa na hiyo Prerequisites inayotakiwa ili aweze kuchukua hiyo Phd ya canon law..usiwe unaleta blabalaa zako hapo. mimi nataka hivyo tu nitajie amechukua wapi na lini?
Sikonge wewe hunijui mimi kwa hivyo kitu chochote ninakachokukuambia kuhusu elimu yangu haitosaidia kitu lakini nina uhakika kutokana na maelezo yakoninavyoyasoma IQ yako iko below everage katika SD curve wewe ni outlier upande wa left. Slaa ni mchakachuaji wa elimu kama wengine just admit au tuleteeni vielelezo na siyo blabbing..
Sikonge...Canon Law, the Canon law of the Catholic Church, is a fully developed legal system, with all the necessary elements: courts, lawyers, judges, a fully articulated legal code and principles of legal interpretation. The academic degrees in canon law are the J.C.B. (Juris Canonici Baccalaureatus, Bachelor of Canon Law, normally taken as a graduate degree), J.C.L. (Juris Canonici Licentiatus, Licentiate of Canon Law) and the J.C.D. (Juris Canonici Doctor, Doctor of Canon Law). Because of its specialized nature, advanced degrees in civil law or theology are normal prerequisites for the study of canon law.
Sasa niambieSlaa kabla ya kuwa enrolled na hiyo canon law amesoma wapi Advance degree ya civil law or thoeology ambayo kama inavyosema hapo ni prerequisites.... kama unafahamu ni nini? na usitudanganye ukimaliza Md Russia siyo sawa na master na kwa taarifa yako Russia MD wanasoma miaka sita na ukirudi tz unakuwa ni sawa na Md alimaliza Tz na internship unafanya...