C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

wowwww hapo umeshasema amesoma miaka 5 na amemaliza na master kumbuka ni miaka 5 na siyo 2 ya master siyo IT tu najua kuna vyuo ambacho nilikuwa ninasoma education unasoma miaka 5 na unatoka na master nasisitizia zaidi time period ya miaka 5 nazni umeshafahamu lakini Slaa yeye amesoma miaka 3 tu ametoka na Phd unataka kuniambia ni sawa na huyo anaesoma miaka 5 kuondoka na master.mimi sina chuki na Slaa hata siku moja na nina respect utendaji wake wa kazi na dedication yake kwa Tz na hujanisikia kuwasifia hao atu wengine elimu zao na utendaji wao wa kazi hata simu moja na lengo la maada hii si kuangalia Slaa utendaji wake wa kazi na sijadhaurau au kubeza kabisa utendaji wake wa kazi. lakini mimi tatizo liko pale kwa wale wapenzi wa Slaa wanapotoa sifa kemkem juu ya elimu yake na kufuja za wengine huku kumbe na yeye elimu yake ina mashaka kama hao wengine.. hamuoni hii ni double standard?na hilo siyo kosa la Slaa kabisa bali ni kosa la hao fanatics wake. na kupa big up kwa uvumbuzi wako wa IQ curve -1 to + 1 keep it up huwezi kujua.
Na ahsante sana Dr W.Slaa kwa ushauri wako
 
degree gani ya heshima aliyoipata mlimani? acha kutudanganya wewe. experince ya wizi, unafiki, ubaguzi wa kimtandao na ufisadi ndio unataka kumfananisha na mtetea wanyonge na raia wema wa tanzania. na heri ukatumikia siku moja kwa uadilifu kuliko miaka 35 ya wizi , unafiki na ufisadi.
 
Kizibao,
Nadhani University zilizotajwa zipo na ni vizuri mtu akitaka kujielimisha vizuri akawasiliane na hiyo au vyuo vikuu vilivyotajwa kama Dr. Slaa alivyowasiliana na Vyuo vikuu on line kujua kama ni vyuo vinavyotambulika au la na kama Degree zao zinatambulika au la. Utafiti daima ni jambo jema ili mtu afanye informed conclusions. Thanks Wanajamvi.

Na ahsante sana Dr W.Slaa kwa ushauri wako

Du, mtu mwenye IQ kubwa kaumbuka.
 
Du, mtu mwenye IQ kubwa kaumbuka.
Are you serious sikonge? you must be kidding! Kwa tafsri yako hapo umeona nimeumbuka!siyo nyinyi Fanatic ambao mlikuwa mnatetea kitu hamna idea kiko vp?unajua nina msifu huyo aliyejiit Dr W.Slaa hapo juu kwa kunipa ushauri niulizie chuoni kwa sababu anajua ya kuwa information kama hizo ni confidential sasa siwezi hawawezi kumpa mtu wa kawaida tu, mpaka institution imepeleke maombi hao na ieleze sababu za kutaka hizo information. kwa hivyo ametumia akili yake kuuzima huu mjadala but it doesnt hatutoendelea kuwa na wasi wasi na Phd yake,it might be over but atleast for now.
lakini wewe mwenzangu nikiangalia thread zako naona blabbing tu na inaonyesha ulikuwa huna idea ya kitu gani unaongelea.
P.S Wito kwa Dr Slaa naona muda umefika wa kueleza kuhusu elimu yako kwani kuna masualamengi sana yanahitaji kujibiwa na jinsi ulivyoipata hiyo Phd yako ni mashaka matupu na hata ukiangalia masharti mabayo lazima uyatimize ili kuchukua canon law ulikuwa huna.. sasa tueleze Why
 
Kikwete hana PH.D kwa vile hakuna kitu kinachoitwa Ph.D ya heshima labda za kudanganywa. Digrii za heshima kama alizo nazo Kikwete haziitwi Ph.D; zina majina yake maalumu kama vile Doctor of Letters, Doctor of Humanities, Honorary Doctorate in -so-and-so ...., na majina ya namna hiyo yanayoonyesha kuwa ni ya kubandikwa tu na inaweza kung'olewa wakati wowote. Digrii za Kikwete ninazojua ni Honorary Doctorate Degree in International Relations (Istanbul), Doctor of Humane Letters-Honoris Causa (Kenyatta), honorary doctorate degree in Law (St. Thomas).

MWEH! UMENIFUMBUA MACHO, ETI NA MIMI NILISHAAMINI ANA PhD YA HESHIMA. KUMBE NI HAKO TU KAJINA DOCTOR NDIO ALIKOPEWA, THANKS!
 
JK hajawatumikia watu wa Tz. Amekuwa akiwatumikia mafisadi na sasa wamemweka mfukoni. Anahitaji msaada ili atoke huko mfukoni yeye mwenyewe hawezi.
 
Elimu ni kama uwekezaji, unachojifunza mara nyingi ndio utakuja kukitumia maishani...Kama wewe ulijifuza kushona basi na wewe utakuja kutumia ujuzi wako wa ushoni. PhD aliyosomea Dr Slaa, alitegemea kuitumia kanisani, lakini baadaye akaamua kuingia kwenye siasa, je ni kweli anaitumia hiyo elimu katika siasa leo ??
 
Mtu anaitwa kizibao na akili yake nikama kizibao msameheni mimi nawaombeni kama kakayenyu!!!tulikwisha jadili hapa lakini nashukuru kwa kumpa history kwa ufupi kama anawasiwasi aulizetena tupo kwa ajili yawatu kama kizibao!!ila mwisho namtuma hapa atuletee Biography ya JOHN TENDWA tunashida nayo hatumjui niwapi alitokea na Mkapa alimuibua wapi!!asante kwa hilo!!

Issue sio kujadili kitambo..issue ilikuwaje mtu awe anafanya PHD na yuko kati kati ya PHD yake halafu tunaambiwa kama alichukua Adv Diploma akiwa katika kati ya PHD hiyo.

Swali jingine tunaomba publications alizofanya ilituone kama kweli ni Dr. wa ukweli..!
 
Are you serious sikonge? you must be kidding! Kwa tafsri yako hapo umeona nimeumbuka!siyo nyinyi Fanatic ambao mlikuwa mnatetea kitu hamna idea kiko vp?unajua nina msifu huyo aliyejiit Dr W.Slaa hapo juu kwa kunipa ushauri niulizie chuoni kwa sababu anajua ya kuwa information kama hizo ni confidential sasa siwezi hawawezi kumpa mtu wa kawaida tu, mpaka institution imepeleke maombi hao na ieleze sababu za kutaka hizo information. kwa hivyo ametumia akili yake kuuzima huu mjadala but it doesnt hatutoendelea kuwa na wasi wasi na Phd yake,it might be over but atleast for now.
lakini wewe mwenzangu nikiangalia thread zako naona blabbing tu na inaonyesha ulikuwa huna idea ya kitu gani unaongelea.
P.S Wito kwa Dr Slaa naona muda umefika wa kueleza kuhusu elimu yako kwani kuna masualamengi sana yanahitaji kujibiwa na jinsi ulivyoipata hiyo Phd yako ni mashaka matupu na hata ukiangalia masharti mabayo lazima uyatimize ili kuchukua canon law ulikuwa huna.. sasa tueleze Why

Duh, hii ni open challenge kwa Dokta Silaa na wapenzi wake, sijui watajibu nini? Nna uhakika itakuwa ni utumbo tu,au wataamuwa kususa!
 
wapensi wa dr slaa nimeona nikuwekeeni example ya watu ambao wana real PhD. unlike fake PhD ya dr slaa ambayo kaipata kanisani.
Dr Mohammed gharib bilal
Dr.Bilal completed his primary education at Makunduchi, district of Zanzibar in 1958 and attended his secondary education at Beit-el-ras in 1962 and later on joined Lumumba secondary schools in Zanzibar. Before completing Form Five Dr.Bilal received a Scholarship to go to America, where he studied physics at Howard University and graduated his first degree in physics and mathematics in 1967.
After undergraduate studies he joined the University of Berkely of Carlifonia for MA degree in Physics in 1969. After graduation he began work as assistant to the education, Teaching Assistant
Mohammed Gharib Bilal was a Research Assistant in 1976 until he succeeds to get a PhD in Physics from the University of Carlifonia.
Later the same year he joined the University of Dar-es-salaam as a lecturer in physics unit.
In 1983 he was elected head of the Department of Nuclear Physics.
In 1983 he participated to establish a national organization of radiation and contribute professional the preparation of draft of legislation which led to the law of use and control of the nuclear radiation in Tanzania.
In 1988 he was appointed head of the Faculty of Science at the University of Dar-es-salaam and continue in office until 1990 when he was appointed Permanent Secretary in the new Ministry of Science Technology and Higher Education in 1990-1995.

DR ALI MOHAMMEDM SHENI
He started his primary education and GCE "O" Level,from 1956–1964 at Lumumba College, Zanzibar. In 1969–1970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for "A" Level High Education before undertaken undergraduate course from 1970–1975 at Odessa State University, USSR 1984–1988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle Upontyne England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (Ph.D) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in "Inborn Errors of Metabolism". He also attended Others qualification in 1981 (Blood Transfusion Services and Operation of Blood Bank, Stockholm, Sweden 1994), A course in Management and Situation Leadership, Dar es Salaam 1995 : Planning for HIV/AIDS in Developing Countries; University of East Anglia.
[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial][/FONT][/FONT]
 
WE KIZIBAO NTAKUZABA KIBAO WEE!!! MBONA UNALETA HOJA AMBAZO ZIPO WAZI KABISA HATA KWENYE MTANDAO UNAWEZA KUPATA...INAONYESHA JINSI GANI USIVYO MAKINISASA KWA KUKUONEA HURUMA NGOJA NIKUSAIDIE NDUGU YANGU.......
EDUCATION
International Eye H. Centre Certificate in Eye Health 1993-1993

TransWorld Tutorial College, London Certificate in Management 1985-1985

St. Thomas Aquinas University Advanced Diploma in Rural Development 1980-1981

St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Kipalapala Seminary Certificate in Theology 1974-1977
Kibosho Seminary School Certificate in Philosophy 1972-1973

Itaga Seminary School A-Level Education 1970-1971
Dung'unyi Seminary School O-Level Education 1966-1969

Karatu Primary School Primary Education 1962-1965
Daudi Primary School Primary Education 1961-1961
Kwermusl Primary School (Mbulu) Primary Education 1958-1960

mbona siioni first degree wala masters huo utitiri wa certificates na diploma ndo sifa aliingilia kufanya PhD naungana na kizibao huko vatican / roma ni sawa tu na cairo au medina ambako wanazuoni wengi wa kiislam wamesomea zote ni mahiri kwa elimu ahera . mwenye CV ya marehemu Sheikh Gorogosi aitundike

m
 
Jenifa huelewi kuwa degree hiyo kama zilivyo degree nyingine hupatikana kwenye universities zinazotambulika kisheria. Leo hii ukitaka kwenda kuchukua degree ya Divinity pale Tumaini University, ni degree ya kawaida inayofuata mfumo wa kawaida wa chuo kikuu, na inachukuliwa na mtu yeyote bila kujali imani yake. Kwa hiyo kusema 'ni kanisani tu unaweza kupata phd za namna hiyo', ni kutokuja taratibu za vyuo vikuu maana unapoomba kusoma huulizwi kama ni mtu wa kanisani, msikitini au wa chini ya mti ili upewe taratibu tofauti na unaosimamia taratibu za kawaida za vyuo vikuu. Kama alisoma kwa muda gani, nayo haina maana, kwa vile kila kitu hutegemea utaratibu wa chuo hicho na bidii na uwezo wa mwanafunzi. Hivi unajua kuwa Uingereza 'Masters' degree katika vyuo vingi huchukua miezi 9 tu na siyo miezi 24 ya UDSM?
jibuni swali la msingi first degree alisoma wapi na ailpata GPA ya ngapi hatutaki maneno mengi
 
wapensi wa dr slaa nimeona nikuwekeeni example ya watu ambao wana real PhD. unlike fake PhD ya dr slaa ambayo kaipata kanisani.
Dr Mohammed gharib bilal
Dr.Bilal completed his primary education at Makunduchi, district of Zanzibar in 1958 and attended his secondary education at Beit-el-ras in 1962 and later on joined Lumumba secondary schools in Zanzibar. Before completing Form Five Dr.Bilal received a Scholarship to go to America, where he studied physics at Howard University and graduated his first degree in physics and mathematics in 1967.
After undergraduate studies he joined the University of Berkely of Carlifonia for MA degree in Physics in 1969. After graduation he began work as assistant to the education, Teaching Assistant
Mohammed Gharib Bilal was a Research Assistant in 1976 until he succeeds to get a PhD in Physics from the University of Carlifonia.
Later the same year he joined the University of Dar-es-salaam as a lecturer in physics unit.
In 1983 he was elected head of the Department of Nuclear Physics.
In 1983 he participated to establish a national organization of radiation and contribute professional the preparation of draft of legislation which led to the law of use and control of the nuclear radiation in Tanzania.
In 1988 he was appointed head of the Faculty of Science at the University of Dar-es-salaam and continue in office until 1990 when he was appointed Permanent Secretary in the new Ministry of Science Technology and Higher Education in 1990-1995.

DR ALI MOHAMMEDM SHENI
He started his primary education and GCE “O” Level,from 1956–1964 at Lumumba College, Zanzibar. In 1969–1970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for “A” Level High Education before undertaken undergraduate course from 1970–1975 at Odessa State University, USSR 1984–1988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle Upontyne England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (Ph.D) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in “Inborn Errors of Metabolism”. He also attended Others qualification in 1981 (Blood Transfusion Services and Operation of Blood Bank, Stockholm, Sweden 1994), A course in Management and Situation Leadership, Dar es Salaam 1995 : Planning for HIV/AIDS in Developing Countries; University of East Anglia.
[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial][/FONT][/FONT]

Awesome!!:A S thumbs_down::clap2::A S thumbs_down: and good for them and NOT YOU!!!
 
Mnyonge mpeni haki yake jamani JK he was one of the best students pale mlimani na msidhani hiyo degree ya theologia inaweza kufanana na experience ya leadership ya JK. Niwaulize swali dogo tu JK ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani? na slaa ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani?

but he has ZERO performance, taja alifanya lipi +ve kwa miaka mingi hiyo? so si miaka mingi matters ni Performance, na matokeo yawe visible, ww utamkumbuka kwa lipi? taja, so huna point hapa, Think...!!!!! think.....!!!!!
 
Si mchezo huu mjadala haumuhusu kikwete na Elimu yake au uongozi wake na naona wapenzi wengi wa slaa wanaitumia elimu ya kikwete na uongozi wa kikwete kama ni mfano wa kutaka sisi tuikubali na tuisifie Phd ya Slaa...lakini bado hamjatueleza ameipta vp hiyo Phd jee alikuwa ana credit za kuweza kuchukua hiyo phd? Mfano kuna mtu ame forge certificates na masomo na kujipa straight As na kuomba shule Nje ya nchi katika vyuo mashuhuri sana ( wapo wengi sana Tz) na akafanikiwa kumaliza degree yake jee huyu mtu utamuhukumu vp? ukienda kuulizia chuoni yeah ndio amesoma na record zipo pale lakini jee alikuwa na sifa ya kusoma ile degree na je ile degree yake itakuwa applicable Tz... nafakarini kesi hiyo baadae mujiulize masuala kama hayo katika kesi ya slaa.....alikuwa na sifa za kuchukua ile Phd?
 
Back
Top Bottom