C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

TUACHE UBISHI WA KIJINGA HUWEZI KUMLINGANISHA DR SLAA(PhD) NA MR KIKWETE KWA TAALUMA, NDIO MAANA KIKWETE PIGA UA GALAGAZA HAWEZI KUSIMAMA NA DR SLAA KWENYE MDAHALO BORA AKUBALI KUSHINDWA KULIKO KUDHALILIKA. SIAMINI NDUGU YANGU ANAEONGELEA UZOEFU WA LEADERSHIP KAMA ANAJUA MAANA YA LEADERSHIP NA SIFA OF GOOD LEADER. UKITUMIA KIGEZO HICHO NDIO KABISA HUWEZI KUMSIMAMISHA KIKWETE KWA DR SLAA, WAPIME KWA MAFANIKIO NA KWA NAFASI ZAO, WASINGECHAKACHUA TUNGEWAPIMA MAANA DR SLAA AKIONGOZA NCHI KWA MIAKA MITANO PIA ILA JUST TO SUMMARIZE KIKWETE NI NYANYA KWA DR SLAA KITAALUMA NA KIUTENDAJI. NDIYO MAANA WALICHAKACHUA HICHO KILIKUWA KIPIMO TOSHA KWAMBA DR SLAA NI ZAIDI. SIFA ZA KIJINGA ETI DAKTARI WA HESHIMA MBONA NYERERE HAKUWAHI KUJIITA DAKTARI -HIZO NI SIFA ZA KIJINGA NAMSHAURI JK AWAMBIE WASAIDIZI WAKE WAACHE KUMWAIBISHA, AITWE HON. JAKAYA KIKWETE
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?
 
Tumia hata common sense basi!
HAO ULIOWASEMA WANAITWA WASTAAFU MAANA WALIFIKIA UMRI WA KUSTAAFU, WAKASTAAFU!

Slaa alistaafu upadri au aliomba kuacha?...Usilete discussion ya mambo ambayo ni giza kwako!
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

Hivi kwanini wajahidina hawapendi kuitwa waongo?
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

kichwani ziro, moyoni ziro.

kwenye heading umeandika "hataki"

kwenye content umeandika "hatajwi"

kama ulikuwa unabisha ukiambiwa wewe ni mwehu, basi leo naomba upigie mstari.
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?
Hivi kwa nini MUNGU!ALIUMBA WATU WA AINA YAKO!
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

Kama umemwita padri, akakujibu hataki kuitwa padri, si ungemuuliza swali kuwa kwa nini hataki kuitwa padri?

Na kama hujamuuliza, na umelileta humu basi haya ndio tunayaita majungu; labda ungeomba contact zake kupitia JF then umwulize.
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

Ungeenda kuwauliza hao wanaomuita, pumbavu mkubwa wee.
Si kila cheo huwa kinaendelea hata baada ya kuacha au kustaafu, mfano mtu aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya au mkoa, nk. akistaafu huwa bado anaitwa kwa cheo hicho?

GROW YOU TODDLER, GROW...
 
hakustaafu bali aliomba kuachana na upadri ndio maana hiyo hadhi ilitoweka.Mchungaji Christopher MA********* anaendelea kuitwa hivyo kwa sababu bado analiendesha kanisa lake the same to Lwakatare.
Hini kwa nini alswaliisunna hawataki kuitwa siasa kali au chafu?
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?
NDUGU YANGU...MIJADALA MINGINE HAILETI MAANA........
Baadhi ya hao uliowataja walitumikia nyadhifa zao hadi wakamaliza mfano marais.Wengine hupenda kuendelea kuitwa au kutambulishwa kwa nyadhifa walizowahi kushika mfano balozi, luteni, Captain etc.Kutaka kujua kwanini Dr Slaa haitwi "padri"..hakuna tija.
Ulishawahi kujiuliza kwanini hatujawahi kuita watu "; mbunge mstaafu", "waziri mstaafu", "daktari mstaafu", "mhandisi mstaafu" etc au Cheo ni upadre tu?????,

Kumbuka ..kama ni vyeo anacho cha udakta wa kusomea na kinamtosha.
 
Maswali mengine ni mepesi sana, sababu yake ni ile iliyomfanya JK asijiite Luteni Kanali Mstaafu Jakaya Mrisho Kiwete.
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

Tupe habari mnafiki weye ulishajaribu akakutusi?
 
Siyo padri ..padre hawezi kukaa na mke wa mtu..bila kufuata taratibu ok

Slaa is morale died person (decay)
 
What do you mean? This is not English my friend! Jaribu kujieleza kwa Kiswahili.
 
Back
Top Bottom