C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

Mfaidhina akiwa na akili za tope kazini!
jamaayangu rev. Masanilo naomba nikurekebishe tena na leo katika matumizi ya kiswahili, sio mfaidhina wanaitwa mhafidhina au wakiwa wengi wahafidhina,usinichukie lakini my friend.
 
Haina shobo wewe ni mhafidhina?
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

mkuu dr. Slaa si padre,aliondolewa daraja Takatifu na mkuu wa kanisa la imani yake,PAPA. Hapa alipata mamlaka kutoa katika wito aliochagua kabla na kuendelea na maisha yake yasiyo ya kitawa. Ukimwita Padre hatakana wala hatosema umemkosea adabu,hapana atatabasamu na kukusikiliza,ila hana mamlaka ya kanisa kama padre,kama sikosea anaweza kuendesha ibada yake peke yake bila kuwaalika watu. Kila imani ya mtu ina heshima yake,tuheshimiane.Kama una swali jingine uliza ila si kumkejeli dr.slaa. Mwisho,upadre ni ngazi moja katika daraja takatifu. Si huyu pekee wapo zaidi ya 50 wenye nyazifa kubwa serikalini na tukiwataja utashangaa! Hapa si kujitukuza,mtu akiacha wito anatoka kwa amani na kuendelea na maisha mengine na kamwe hawezi kutoa siri za Utawa!
 
Ungeenda kuwauliza hao wanaomuita, pumbavu mkubwa wee.
Si kila cheo huwa kinaendelea hata baada ya kuacha au kustaafu, mfano mtu aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya au mkoa, nk. akistaafu huwa bado anaitwa kwa cheo hicho?

GROW YOU TODDLER, GROW...

Kwa mtaji huu JF ceased to be home of great thinkers
 
mkuu dr. Slaa si padre,aliondolewa daraja Takatifu na mkuu wa kanisa la imani yake,PAPA. Hapa alipata mamlaka kutoa katika wito aliochagua kabla na kuendelea na maisha yake yasiyo ya kitawa. Ukimwita Padre hatakana wala hatosema umemkosea adabu,hapana atatabasamu na kukusikiliza,ila hana mamlaka ya kanisa kama padre,kama sikosea anaweza kuendesha ibada yake peke yake bila kuwaalika watu. Kila imani ya mtu ina heshima yake,tuheshimiane.Kama una swali jingine uliza ila si kumkejeli dr.slaa. Mwisho,upadre ni ngazi moja katika daraja takatifu. Si huyu pekee wapo zaidi ya 50 wenye nyazifa kubwa serikalini na tukiwataja utashangaa! Hapa si kujitukuza,mtu akiacha wito anatoka kwa amani na kuendelea na maisha mengine na kamwe hawezi kutoa siri za Utawa!

Mkuu inaelekea wewe ulizaliwa zamani. Kama si hivyo basi umelelewa kwenye maadili mema. nawasifu wazazi wako. Napenda busara na nasaha zako zinapendeza na kufurahisha. Wasaidie wanaotumia lugha mbovu. Wanasahau nasaha za wahenga kuwa usimsukume aulizae njia yawezekana kuwa yu kipofu ama amepotea njia ya anakotaka kwenda. Pokea tano kwa busara zako.
 
Haina shobo wewe ni mhafidhina?
hapana mimi si mhafidhina mimi ni peoples power kama wa misri wasioogopa kufa kutetea hakizao,ila hapa kwetu peoples power hatuna umoja,polisi wakijamba sisi tunavunja miguu kwa kukimbia
 
Nina wasi wasi sana na wewe! Nimepitia thread zako wewe ni kama Mrs CCM yaani CUF hahahahahahaha
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

Sasa huu ni uchokozi, alishajitoa kutoka katika huduma hiyo utaendelea vipi kumwita padri wakati hachungi kondoo wa mungu? Utafanya vyema kama utamheshimu wa kumwita Mheshimiwa Slaa kwani at one point alikuwa mbunge na ukizingatia alikuwa mgombea wa kiti cha urais, ukipenda zaidi mwuite Dr. Slaa hutapungukiwa na kitu ukishindwa kabisa basi mwite Slaa hutakuwa umefanya mbaya kama na wewe utataka watoto wako wakuite kwa jina lako. Ni hayo tu mkuu ubarikiwe sana.
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

Kwasababu ana Mchumba. Padri huwa hawi na mchumba.
 
Just simple yeye siyo padri, wala padri msaafu sasa kwa nini aitwe hivyo? Think again!
 
Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?

Naona maralia Sugu amekuja kivingine

Toka lini ukasikia Padre anastaafu kueneza injiri? hata awe kikongwe vp lakini anagangamaa sijui kama kuna sheikh mstaafu?
 
Back
Top Bottom