C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

wapensi wa dr slaa nimeona nikuwekeeni example ya watu ambao wana real PhD. unlike fake PhD ya dr slaa ambayo kaipata kanisani.
Dr Mohammed gharib bilal
Dr.Bilal completed his primary education at Makunduchi, district of Zanzibar in 1958 and attended his secondary education at Beit-el-ras in 1962 and later on joined Lumumba secondary schools in Zanzibar. Before completing Form Five Dr.Bilal received a Scholarship to go to America, where he studied physics at Howard University and graduated his first degree in physics and mathematics in 1967.
After undergraduate studies he joined the University of Berkely of Carlifonia for MA degree in Physics in 1969. After graduation he began work as assistant to the education, Teaching Assistant
Mohammed Gharib Bilal was a Research Assistant in 1976 until he succeeds to get a PhD in Physics from the University of Carlifonia.
Later the same year he joined the University of Dar-es-salaam as a lecturer in physics unit.
In 1983 he was elected head of the Department of Nuclear Physics.
In 1983 he participated to establish a national organization of radiation and contribute professional the preparation of draft of legislation which led to the law of use and control of the nuclear radiation in Tanzania.
In 1988 he was appointed head of the Faculty of Science at the University of Dar-es-salaam and continue in office until 1990 when he was appointed Permanent Secretary in the new Ministry of Science Technology and Higher Education in 1990-1995.

DR ALI MOHAMMEDM SHENI
He started his primary education and GCE "O" Level,from 1956–1964 at Lumumba College, Zanzibar. In 1969–1970 he joined Preparatory Faculty, Voronezh State University, USSR for "A" Level High Education before undertaken undergraduate course from 1970–1975 at Odessa State University, USSR 1984–1988. Dr. Shein attained A Master of Science in Medical Biochemistry at the Medical School University of Newcastle Upontyne England, U.K. Dr.Shein was awarded Doctor of Philosophy (Ph.D) in Clinical Biochemistry and Metabolic Medicine, specializing in "Inborn Errors of Metabolism". He also attended Others qualification in 1981 (Blood Transfusion Services and Operation of Blood Bank, Stockholm, Sweden 1994), A course in Management and Situation Leadership, Dar es Salaam 1995 : Planning for HIV/AIDS in Developing Countries; University of East Anglia.
[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial][/FONT][/FONT]

Umesahau kuwafahamisha ya kwamba Dr Bilal na Dr Seni walianzia madrsa na ndio msingi wa elimu yao.

MSOMI ni mtu mwenye kuvutiwa na fikra na mwenye mbinu za kizisarifu na kuzitumia vilivyo(fikra hizo) baadhi au zote. Profesa Ali Mazurui.
 
but he has ZERO performance, taja alifanya lipi +ve kwa miaka mingi hiyo? so si miaka mingi matters ni Performance, na matokeo yawe visible, ww utamkumbuka kwa lipi? taja, so huna point hapa, Think...!!!!! think.....!!!!!

Mie nadhani wewe ndie ungetaja wapi JMK haja perform vyema?
 
From Wikipedia, the free encylopedia
Canon law is the body of laws and regulations made by or adopted by ecclesiastical authority, for the government of the Christian organization and its members. It is the internal ecclesiastical law governing the Catholic Church (both Latin Rite and Eastern Catholic Churches), the Eastern and Oriental Orthodox churches, and the Anglican Communion of churches.[1] The way that such church law is legislated, interpreted and at times adjudicated varies widely among these three bodies of churches. In all three traditions, a canon was initially a rule adopted by a council (From Greek kanon / κανών, Hebrew kaneh / קנה, for rule, standard, or measure); these canons formed the foundation of canon law.
The Apostolic Canons[2] or Ecclesiastical Canons of the Same Holy Apostles[3] is a collection of ancient ecclesiastical decrees (eighty-five in the Eastern, fifty in the Western Church) concerning the government and discipline of the Early Christian Church, incorporated with the Apostolic Constitutions which are part of the Ante-Nicene Fathers

ni kama mabo ya kadhi kadhi ivi!!!
 
vijisenti ana elimu ha havard kaisaidia nini tz zaidi ya kuiibia?
 
dah! sisiemu wanaendelea kumchafua Dr. Slaa
Give me a break..CCM ndiyo inayomchafua Slaa au amejichafua yeye mwenyewe hicho kitu hakusomea au anasingiziwa?sasa unaniambia anachafulia ni kama vile just wanamzushia tu na hao watu wanaotoa maoni siyo CCM bali ni watu ambao wana free will na wanaotaka ukweli utoke.Sasa kama unaona hao ni CCM na unashidwa kutumia ubongo wako kufikia jee hayo wanayoyazungumza na naomba uangalie CV ya slaa na kama mtu mwenye kufikiria basi unaweza kupata jibu kwenye hiyo CV na kama hujapata jibu basi isome nini hasa hiyo canon law halafu angalia masharti gani yamewekwa ili uweze kuchukua hiyo canon law baadae angalia CV ya Slaa naona utapata jibu....
 
MODS, mbona kuna thread kama hii ilishaanzishwa??

Mmelala?
 
Mnyonge mpeni haki yake jamani JK he was one of the best students pale mlimani na msidhani hiyo degree ya theologia inaweza kufanana na experience ya leadership ya JK. Niwaulize swali dogo tu JK ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani? na slaa ameanza kuwatumikia wananchi mwaka gani?

You are completelly correct kwanza Slaa professional yake ni U Padri, Theology ni elimu ya dini, even phylosoph yake alisomeshwa na kanisa ili awe padri, Eti theology ya Slaa wanafananisha na Bachelor of Economics ya JK tena Mlimani enzi hizo, ndo maana padri alisema within 5 years hakutakuwa na nyumba ya nyasi Bongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umesahau kuwafahamisha ya kwamba Dr Bilal na Dr Seni walianzia madrsa na ndio msingi wa elimu yao.

MSOMI ni mtu mwenye kuvutiwa na fikra na mwenye mbinu za kizisarifu na kuzitumia vilivyo(fikra hizo) baadhi au zote. Profesa Ali Mazurui.

Kama hawatosheki wamwagieni na CV ya Professa LIpumba wazimie kabsaaaa, maana wamezoea kusema waenda madrassa ni vilaza, yule padrii hana hata sifa moja kama Elimu Lipumba kamkojolea, Experience JK kampakata sasa sijui nini kawazidi? labda makelele
 
@ sokomoko wote wamelitumikia taifa kwa muda mrefu tofauti ni kwamba mmoja alibase sana kwenye mambo ya kiroho na mwingine politics.

anyways to me elimu ya mtu haimati saaana kwenye kujudge uongozi bora, basi wakina late tuntemeke sanga wangeshakua marais longii..!

hembu tuliulize kina karume,mkwawa, mirambo, kimweri,sina, shaka zulu, kinjekitile na mariale walisoma vyuo vikuu vp? mbona waliweza kutuongoza tena kwa uzuri tu..!

sikatai kwamba elimu inatusaidia kutupa uwezo wa kuchanganua na kuyaelewa mambo kwa urahisi but hiki kisiwe ndo kigezo cha kwanza katika kuchoose viongozi wetu...! credibility na uzalendo wa mtu first vingine baadae...! its just an added advantage thats it...
 
@ sokomoko wote wamelitumikia taifa kwa muda mrefu tofauti ni kwamba mmoja alibase sana kwenye mambo ya kiroho na mwingine politics.

anyways to me elimu ya mtu haimati saaana kwenye kujudge uongozi bora, basi wakina late tuntemeke sanga wangeshakua marais longii..!

hembu tuliulize kina karume,mkwawa, mirambo, kimweri,sina, shaka zulu, kinjekitile na mariale walisoma vyuo vikuu vp? mbona waliweza kutuongoza tena kwa uzuri tu..!

sikatai kwamba elimu inatusaidia kutupa uwezo wa kuchanganua na kuyaelewa mambo kwa urahisi but hiki kisiwe ndo kigezo cha kwanza katika kuchoose viongozi wetu...! credibility na uzalendo wa mtu first vingine baadae...! its just an added advantage thats it...

Hao wote uliowataja wana elimu ya Madrasa, hapo ndio utapojuwa kuwa elimu zote za dunia zimeanzia kwenye elimu zinazofundishwa Madrasa.

By the way, Chaka = Sheikh
 
sijui laki nakumbuka alipata GPA ya 2.1 (kama sikosei) pale mlimani wakati anachukua degree

BASI HIYO DIGRII YA HESHIMA YA UTALAWALA NA HESHIMA TUGAWANE WATANZANIA WOTE!
Kwani kuna mtanzania asiejuwa kutawala na sheria?!

Mimi mto o wangu nimemfunza kuwatawala kuku kibandani na sheria za kuwalinda, ukja utampa FIRS CLASS WITH GPA OF 4.9

Chonde hcho chuo kiwatambue kila mtanzania Phd, please.

Nawasilisha,te he te he!
 
Kama hawatosheki wamwagieni na CV ya Professa LIpumba wazimie kabsaaaa, maana wamezoea kusema waenda madrassa ni vilaza, yule padrii hana hata sifa moja kama Elimu Lipumba kamkojolea, Experience JK kampakata sasa sijui nini kawazidi? labda makelele

Ahsante mkuu kwa ombi lako CV ya PROF LIPUMBA hii hapa .now you need to shut up wapenzi wa dr slaa

PROF LIPUMBA
• International Trade and Finance, Macroeconomics

• Development Economics and Agricultural Economics

His Research Interests/research focus:


• Impact of Liberalization of Foreign Exchange and Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa

• Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa

• Policies to Promote Growth in Sub Sahara Africa

Education Background:

• 1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305

• 1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305

• 1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences

• 1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

Academic Honors:

• 1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship

• 1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems

• 1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam
 
sijui laki nakumbuka alipata GPA ya 2.1 (kama sikosei) pale mlimani wakati anachukua degree

Nimeshtuka kuona JK ana matokeo mazuri hivyo kwa kutumia viwango vya huku Schengen countries...kumbe ni ya mlimani TZ so it means lower lower second
!!sio mbaya saana.
 
Habari zenu Ndg zangu. Swali kuhusu elimu ya Slaa siyo jipya. lilishajibiwa tarehe 16/Dec/2009 hapa JF na mjadala wake ukafungwa soma hapa https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/46130-profile-ya-dr-slaa.html kwa hiyo kwasababu sisi tunauelewa flani wa mambo ni vema kutafiti kidogo kuhusu swali tunalotaka kuuliza kuliko kuwa wavivu wa kutafuta kwenye mtandao au vyanzo vingine. Muda ni mali; tujali muda kwa kujadili mambo yenye tija kwa nchi yetu. Leo nimebisha hodi rasmi. Ndimi nduguyenu Kusadikika.
 
Japo mie pia sifahamu hiyo ni Ph.D ya namna gani aliyonayo Slaa. japo niya mashaka pia, Lakini naomba niwatoe wasiwasi ya kwamba nchi nyingi za ulaya ukiondoa waingereza lile gamba ambalo la degree ya kwanza/pili ni DIPLOM .

KWa hiyo msipumbazwe sana na waingereza.
 
A diplom (from Greek: δίπλωμα diploma) is an academic degree in the German-speaking countries Germany, Austria, and Switzerland and a similarly named degree in some other European countries including Belarus, Bosnia and Herzegovina, Croatia, Estonia, Finland (only for engineers), Greece, Hungary, Serbia, Macedonia, Slovenia, and Ukraine. Its level can be compared to that of a master's degree in countries using that system, but the required studies make it a combination of a bachelor's and master's degree.
The German magister degree was originally a graduate degree. In 1899, a second first degree, the diplom, was introduced when the Technische Hochschulen received university status. In East Germany, the diplom was the only first degree and was also granted in disciplines such as medicine or law, which at West German universities were completed with a staatsexamen.
With the implementation of the Bologna process, the diplom and magister are increasingly being replaced by bachelor's or master's degrees. Bachelor's degrees, rarely called bakkalaureus, are awarded in most cases after three to four years of study. Master's degrees are awarded in most cases after five years of study. Master's degrees are sometimes called magister, like the former German graduate degree, but they differ in structure.
 
Back
Top Bottom