Naona wengi wamevamia tu kujibu na kuonyesha hisia zao. Neno padre linatokana na neno Patron,, kumbuka patrilinear.Kimsingi padre maana yake ni 'BABA', halina maana nyingine zaidi. Ila kutokana na tamaduni na mazoea tunaipeleka moja kwa moja kwenye dini. Hapa tunakosea. Ndio maana sala kuu ya wakristu wote 'BABA YETU ULIYE MBINGUNI' Inaanza kwa kilatini patre nostre to mean our father. Sasa Kumwita Dr Slaa padre ni sawa kabisa. Hata wewe ni padre kama ni mwanaume rijali na umekamilika. Endelea kutafuta elimu ACHA UMBEA.