Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?
Naona wengi wamevamia tu kujibu na kuonyesha hisia zao. Neno padre linatokana na neno Patron,, kumbuka patrilinear.Kimsingi padre maana yake ni 'BABA', halina maana nyingine zaidi. Ila kutokana na tamaduni na mazoea tunaipeleka moja kwa moja kwenye dini. Hapa tunakosea. Ndio maana sala kuu ya wakristu wote 'BABA YETU ULIYE MBINGUNI' Inaanza kwa kilatini patre nostre to mean our father. Sasa Kumwita Dr Slaa padre ni sawa kabisa. Hata wewe ni padre kama ni mwanaume rijali na umekamilika. Endelea kutafuta elimu ACHA UMBEA.
Umeanza vizuri sana katika ufafanuzi ako lakini mwisho ZERO.
Pole sana
Asante kwa maelezo ya kina.Naona wengi wamevamia tu kujibu na kuonyesha hisia zao. Neno padre linatokana na neno Patron,, kumbuka patrilinear.Kimsingi padre maana yake ni 'BABA', halina maana nyingine zaidi. Ila kutokana na tamaduni na mazoea tunaipeleka moja kwa moja kwenye dini. Hapa tunakosea. Ndio maana sala kuu ya wakristu wote 'BABA YETU ULIYE MBINGUNI' Inaanza kwa kilatini patre nostre to mean our father. Sasa Kumwita Dr Slaa padre ni sawa kabisa. Hata wewe ni padre kama ni mwanaume rijali na umekamilika. Endelea kutafuta elimu ACHA UMBEA.
Hata kama hataki wewe mwite tu hawezi kukupiga
Yaelekea Kalamazoo bado umevimbiwa pilau za mafisadi huko CCM. Kwa vipi aendelee kuitwa Padri wakati alijivua kwa hiyari madaraka yale kwa idhini ya Kanisa? Upadre si Usheikh ambao hata mimi naweza kuwa addressed kama Sheikh. Jaribu kutumia kichwa kufikiri badala ya viungo mbadala. Ninavyoelewa mimi hakuna hicho cheo cha Padri Mstaafu bali maskofu maana wao wana vipengele vya kustaafu nyadhifa zao lakini hili la Padre Mstaafu umetokosa. Pole.Nimezoea kusikia watu mbalimbali wakiitwa kwa vyeo vyao vya zamani.kwa mfano Balozi mstaafu,Rais mstaafu,Capteni mstafu nk. Nimeshindwa kujua ni kwanini Padri Slaa hatajwi kwa cheo chake cha upadri,ni kwanini?
Yaelekea Kalamazoo bado umevimbiwa pilau za mafisadi huko CCM. Kwa vipi aendelee kuitwa Padri wakati alijivua kwa hiyari madaraka yale kwa idhini ya Kanisa? Upadre si Usheikh ambao hata mimi naweza kuwa addressed kama Sheikh. Jaribu kutumia kichwa kufikiri badala ya viungo mbadala. Ninavyoelewa mimi hakuna hicho cheo cha Padri Mstaafu bali maskofu maana wao wana vipengele vya kustaafu nyadhifa zao lakini hili la Padre Mstaafu umetokosa. Pole.