Cabinet approves city status for 2 more towns

Cabinet approves city status for 2 more towns

Uwe makini kwa hili, ukubwa wa mji siyo maendeleo na ubora wa mji. Hata hapa tu tunaona jinsi kuna miji midogo kwa watu inavyoizidi miji ni kubwa kwa ubora katika vitu vingi. Mfano mji wa Moshi una wakazi wachache kuliko Tabora, Kigoma, Songea, Mbeya, Kahama, Geita lakini uzuri wake mnaufahamu. Ama pamoja na jiji la Arusha kuwa dogo Mara mbili kwa Mwanza bado kuna vitu vingi vya kisasa linazidi jiji la Mwanza.
Ukiona mji wowote wa Kenya unalingana kwa watu na mji wetu, ujue wa kwetu umepitwa mbali sana kimaendeleo (ukitoa Arusha na Moshi). Fikiria mji wa Nakuru, tangu zamani ni mmojawapo wa miji the most romantic in East African, at par with Arusha.
Miji ya Kenya ni kama Ulaya ambako hawana miji mikubwa sana lakini ina maendeleo kuliko ile ya sehemu nyingine duniani. Ukienda Ulaya nzima, kuna majiji yasiyozidi tano (Paris, London, Frankfurt, Moscow) yenye skyscrapers ndefu nyingi lakini ukienda kwa ubora wa miji, Ujerumani pekee kuna majiji zaidi ya kumi - Berlin, Hamburg, Munchen, Frankfurt, Stuttgart, Cologne, Düsseldorf, Bremen, Hannover, Dresden na Leipzig yenye ubora kuliko Dar licha ya majiji hayo yote kuwa na watu wachache kuliko Dar.
Hivi Nakuru ina international airport? Ina port? How about industries? Muache upumbavu wa kulamba matako ya Kenya. Stonetown, Mbeya, Tanga na Mwanza wanazo. Wakati plan for Dodoma to be a city is on working..
 
its surprising how Tanzanians are trying to say that they have more cities but Tanzania only has one city...the rest are towns and villages...Dodoma the capital looks like Turkana...no development whatsoever...😀😀😀dont compare Kenya to dirt...
If Kisumu was elevated to city status? Mwanza and Arusha deserve too, they equal Kisumu. What I'm suprised is to learn Eldoret and Nakuru are not cities. While Mbeya is one of the city in Tanzania, frankly speaking Eldoret and Nakuru surpass Mbeya city by far not even close
 
If Kisumu was elevated to city status? Mwanza and Arusha deserve too, they equal Kisumu. What I'm suprised is to learn Eldoret and Nakuru are not cities. While Mbeya is one of the city in Tanzania, frankly speaking Eldoret and Nakuru surpass Mbeya city by far not even close
they surpass them in terms of what? maybe population but if you are talking about infrastructure, Eldoret beats those large villages of Tanzania hands down...
 
naomba uweke hapa aerial viewmoja tu ya any of your 7 cities other than DAR.
Eldoret is the 5th largest.
View attachment 602044 View attachment 602045 View attachment 602046 View attachment 602055
Ni city ya ngapi hiyo kwa Kenya?
In Tz we have
1.Dar es salaam
2.Mwanza
3.Arusha
4.Mbeya
5.Tanga
6.Dodoma
7.Morogoro
8.Moshi
9.Iringa.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
This is Iringa, the 9th town in Tz
Screenshot_2017-07-31-18-39-36.png
IMG_20170716_192921_559.JPG
IMG_20170716_192804_833.JPG
 
Kwaiyo unafananisha Ulaya na Kenya? Didn't get your point yet.
No sifananishi Kenya na Ulaya, nilijaribu kuonyesha kuwa, Kenya kwa Tanzania ni sawasawa na Ulaya kwa nchi zenye majiji mengi makubwa duniani kama India, Mexico na Brazil lakini kwenye quality ya kimaisha miji hiyo isiyo na maghorofa mengi makubwa na yenye watu wachache inakuwa na maendeleo makubwa kuliko miji ile mikubwa yenye maghorofa mengi na watu wengi.
 
1. Nairobi
2. Mombasa
3. Kisumu
4. Eldoret
5. Nakuru
6. Thika
7. Athi river
8. Machakos
9. Malindi
10. Voi
11. Nanyuki
12. Embu
13. Kilifi
16 kitale
All these places have decent infrastructure, good size and an urban feel...they all have a minimum population of 300,000
 
1. Nairobi
2. Mombasa
3. Kisumu
4. Eldoret
5. Nakuru
6. Thika
7. Athi river
8. Machakos
9. Malindi
10. Voi
11. Nanyuki
12. Embu
13. Kilifi
16 kitale
All these places have decent infrastructure, good size and an urban feel...they all have a minimum population of 300,000
Bring us Malindi photos.
 
i also forgot
Kericho
Lamu
Nyeri
Naivasha
Namanga
Kwale
Bungoma
KAKAMEGA
 
Back
Top Bottom