Nairobi has the largest slum in AfricaTanzania iko na cities zingine isipokuwa Dar is slum???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nairobi has the largest slum in AfricaTanzania iko na cities zingine isipokuwa Dar is slum???
Hivi Nakuru ina international airport? Ina port? How about industries? Muache upumbavu wa kulamba matako ya Kenya. Stonetown, Mbeya, Tanga na Mwanza wanazo. Wakati plan for Dodoma to be a city is on working..Uwe makini kwa hili, ukubwa wa mji siyo maendeleo na ubora wa mji. Hata hapa tu tunaona jinsi kuna miji midogo kwa watu inavyoizidi miji ni kubwa kwa ubora katika vitu vingi. Mfano mji wa Moshi una wakazi wachache kuliko Tabora, Kigoma, Songea, Mbeya, Kahama, Geita lakini uzuri wake mnaufahamu. Ama pamoja na jiji la Arusha kuwa dogo Mara mbili kwa Mwanza bado kuna vitu vingi vya kisasa linazidi jiji la Mwanza.
Ukiona mji wowote wa Kenya unalingana kwa watu na mji wetu, ujue wa kwetu umepitwa mbali sana kimaendeleo (ukitoa Arusha na Moshi). Fikiria mji wa Nakuru, tangu zamani ni mmojawapo wa miji the most romantic in East African, at par with Arusha.
Miji ya Kenya ni kama Ulaya ambako hawana miji mikubwa sana lakini ina maendeleo kuliko ile ya sehemu nyingine duniani. Ukienda Ulaya nzima, kuna majiji yasiyozidi tano (Paris, London, Frankfurt, Moscow) yenye skyscrapers ndefu nyingi lakini ukienda kwa ubora wa miji, Ujerumani pekee kuna majiji zaidi ya kumi - Berlin, Hamburg, Munchen, Frankfurt, Stuttgart, Cologne, Düsseldorf, Bremen, Hannover, Dresden na Leipzig yenye ubora kuliko Dar licha ya majiji hayo yote kuwa na watu wachache kuliko Dar.
If Kisumu was elevated to city status? Mwanza and Arusha deserve too, they equal Kisumu. What I'm suprised is to learn Eldoret and Nakuru are not cities. While Mbeya is one of the city in Tanzania, frankly speaking Eldoret and Nakuru surpass Mbeya city by far not even closeits surprising how Tanzanians are trying to say that they have more cities but Tanzania only has one city...the rest are towns and villages...Dodoma the capital looks like Turkana...no development whatsoever...😀😀😀dont compare Kenya to dirt...
they surpass them in terms of what? maybe population but if you are talking about infrastructure, Eldoret beats those large villages of Tanzania hands down...If Kisumu was elevated to city status? Mwanza and Arusha deserve too, they equal Kisumu. What I'm suprised is to learn Eldoret and Nakuru are not cities. While Mbeya is one of the city in Tanzania, frankly speaking Eldoret and Nakuru surpass Mbeya city by far not even close
Ni city ya ngapi hiyo kwa Kenya?naomba uweke hapa aerial viewmoja tu ya any of your 7 cities other than DAR.
Eldoret is the 5th largest.
View attachment 602044 View attachment 602045 View attachment 602046 View attachment 602055
No sifananishi Kenya na Ulaya, nilijaribu kuonyesha kuwa, Kenya kwa Tanzania ni sawasawa na Ulaya kwa nchi zenye majiji mengi makubwa duniani kama India, Mexico na Brazil lakini kwenye quality ya kimaisha miji hiyo isiyo na maghorofa mengi makubwa na yenye watu wachache inakuwa na maendeleo makubwa kuliko miji ile mikubwa yenye maghorofa mengi na watu wengi.Kwaiyo unafananisha Ulaya na Kenya? Didn't get your point yet.
naomba uweke hapa aerial viewmoja tu ya any of your 7 cities other than DAR.
Eldoret is the 5th largest.
View attachment 602044 View attachment 602045 View attachment 602046 View attachment 602055
Bring us Malindi photos.1. Nairobi
2. Mombasa
3. Kisumu
4. Eldoret
5. Nakuru
6. Thika
7. Athi river
8. Machakos
9. Malindi
10. Voi
11. Nanyuki
12. Embu
13. Kilifi
16 kitale
All these places have decent infrastructure, good size and an urban feel...they all have a minimum population of 300,000
Aerial view please!Bring us Malindi photos.
glad you asked....Malindi photos coming right up....Bring us Malindi photos.
Jesus Christ.Malindi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
So can we start your 9th city of Malindi Vs Our 9th Town of Iringa??Malindi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Is Iringa a coastal city? if it is then I think we can start...I am ready when you areSo can we start your 9th city of Malindi Vs Our 9th Town of Iringa??
Shall we?