Sasa kama Streetsouls mkanda (belt) wanauza 180,000 kadeti itakua bei gani?Mkuu ( Splash huwa zipo nzuri pia na hata streetsoul sio wabaya sana na hawa jamaa woolworths ) ππππ.. inabidi Alu ukimtoa tu umepele sehemu moja wapo hapo ang'ae ng'ari ng'ari nitakuwa mpambe wako nashika maji yako mkononi
Muuza viatu anazo.Kadeti za mtumba wanauza wap dar?
Acha mambo yako mkuu, unatuangusha asee ππππ.. Kwa huo ubahili Alu kweli utamuwezaSasa kama Streetsouls mkanda (belt) wanauza 180,000 kadeti itakua bei gani?
Bora nikanunue Mr Kadeti 10 zipauke taratibu.
Nunua CADET za kampuni ya DANNY KADUNY ni kali na imara,sema bei mkasi....zinapatikana ngumu mpaka zile laini kama zile anazopiga kocha wa man city Pep GuardiolaMkuu nahitaji kununua za jumla nje ya nchi, na ndio maana nahitaji kujua nchi wanazochukua hizi CADET
hiyo kampuni ipo nchi ganiNunua CADET za kampuni ya DANNY KADUNY ni kali na imara,sema bei mkasi....zinapatikana ngumu mpaka zile laini kama zile anazopiga kocha wa man city Pep Guardiola
kuna zinazotokea india hizo angalau bei yake sio mkasi 40k,ila kuna zinazotoka uturuki na marekani bei zake mkasi kidogo...ila pia mwaka juzi niliziona za china bei yao imepoa.....utaziona material yake kama turubai flan hata kwenye maji chumvi zinadumu....ni kali sana tembelea madukan ziulizie uzione ujiridhishehiyo kampuni ipo nchi gani
Kuna dogo mmoja ana duka lake la nguo nilienda siku moja ni ka wambia hizi cardet zako za kuvutika mimi sitaki maana baada ya kufua mara moja tu huwa hazitamaniki!Bongo napata wapi hzo nzito kwa dar?
Mkuu mimi nishachoka haya maduka ya bosi kalewa yanyopiga kelele road hamna kitu mcheki huyo jamaa.. nami nahtajiKuna dogo mmoja ana duka lake la nguo nilienda siku moja ni ka wambia hizi cardet zako za kuvutika mimi sitaki maana baada ya kufua mara moja tu huwa hazitamaniki!
.
Akaniambia bro hizo unazotaka wewe hapa hazipo na ukitaka nipe hela ntakuletea na bei yake ni ya juu kuliko hizi.
Nikamwachia laki 1 akaniletea 3 zile nzito kabisa hapa nataka nimbembeleze aniambie chimbo lake liko wapi.
Yani hizi cardet za elfu 15 ukiziangalia zinavutia sana ila nenda kavae ufue, utaona kila rangi.
Nyeupe, kujivu, njano zote zimechanganyikna humo.
Mimi wife wangu alinunuliaga 2 nzuri kweli, nikavaa akafua, aisee ilibidi niwe naendea nazo kwenye banda la kuku tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mimi nishachoka haya maduka ya bosi kalewa yanyopiga kelele road hamna kitu mcheki huyo jamaa.. nami nahtaji
Zipo kibao mkuu, pesa yako tu, nikuanzia elfu 40 Hadi 50Bongo napata wapi hzo nzito kwa dar?
Nipe location kwa dar kesho nafuataZipo kibao mkuu, pesa yako tu, nikuanzia elfu 40 Hadi 50
mimi nataka zile original
mkuu karume upande gani hapo kunakuwa na kadeti na jeans za kijanja quality? Ila hapo palivyo na purukushani ya wahuni siwatakwangua Rangi gari yangu!!!Njoo karume tukupe za mtumba zilizonyooka dukan unabet unaweza nunua ya bei Kali lkn ukifua mara tatu tu nguo inatengeneza rangi tofaut
buberry
Ktk udereva mara zote madereva wanasisitizwa usalama kwanza km usipokua makin unaweza jikuta ww unakuwa wa kwanza kupiga pasi gari za wahunmkuu karume upande gani hapo kunakuwa na kadeti na jeans za kijanja quality? Ila hapo palivyo na purukushani ya wahuni siwatakwangua Rangi gari yangu!!!
sio bongo mkuu naulizia nchi zinakotokea hizo Cadet ili nizinunue hukoBongo ukitaka kitu orijino utateseka sana kupata.
sio bongo mkuu naulizia nchi zinakotokea hizo Cadet ili nizinunue huko