Ni vizuri kwanza ukawajua wateja wako.sio bongo mkuu naulizia nchi zinakotokea hizo Cadet ili nizinunue huko
Hapo woolworths bei zao sio za kitoto,kuna mdada mmoja nilimuona amenunua kadeti kumuuliza ananionyeshea risiti kucheki amenunua Laki moja,ila ile kadeti nisikufiche haipauki ufue unavyoifua ama uiloweke unavyoiloweka lakini haipauki,vizuri gharamaMkuu ( Splash huwa zipo nzuri pia na hata streetsoul sio wabaya sana na hawa jamaa woolworths ) 😀😀😀😀.. inabidi Alu ukimtoa tu umepele sehemu moja wapo hapo ang'ae ng'ari ng'ari nitakuwa mpambe wako nashika maji yako mkononi
Mkuu kumbe kitu Cha mjeremani nikajua Kitu cha Monaco!!Ingia kwenye site ya Espirit Europe Services GmbH,chuma cha mjerumanI hata ukifa wajukuu wataikuta.
Ndio pigo za Mad Max izo mkuuHapo woolworths bei zao sio za kitoto,kuna mdada mmoja nilimuona amenunua kadeti kumuuliza ananionyeshea risiti kucheki amenunua Laki moja,ila ile kadeti nisikufiche haipauki ufue unavyoifua ama uiloweke unavyoiloweka lakini haipauki,vizuri gharama
hapana mkuu, nataka kujua hao wanaowauzia wengine wanafungia mizigo nchi gani?? Hilo ndio swali langu sihitaji kuchukulia mzigo DarUkitaka kadwti au jeans au mashati ya mtumba saaafi kabisa, nenda Ilala Sokoni kila siku wanafungua mzigo mnagombania bei hapo mnadani. Zipo zinazovutika pia zisizovutika, zisizovutika kwa sasa hazina bei kubwa kabisa sababu soko lake ni gumu kwa sasa, wengi wanapenda za mpira. Juzi tu hapa mimi nimetoka kununua jeans 9 kwa elfu 40.
Hizo kadet ukikuta wanafungua mzigo, ile unayoiona kali ya hatari bei kubwa unayoweza kuuziwa ni elfu 8. Ila ikipigwa pasi hapo Complex utauziwa hata 30 au 25
Mkuu kumbe kitu Cha mjeremani nikajua Kitu cha Monaco!!
Ukitaka za namna hiyo, nenda Uturuki kafunge mzigo ao China zile second grade ambayo ukiwa sio mtu wa tamaa mzigo utausukuma vizuri tu utaisha.hapana mkuu, nataka kujua hao wanaowauzia wengine wanafungia mizigo nchi gani?? Hilo ndio swali langu sihitaji kuchukulia mzigo Dar
Nimekuwa nikinunua kadeti mtumbani za alfu kumi kumi kisha naenda kupunguza kwa fundi wangu mmoja mkali.Kwa wauzaji wengi wa Tanzania, mizigo wanatoa China.
Huko China kuna classes, kuanzia za bei ndogo ambazo tunakuja kuuziwa elfu 17-20 hadi za bei kubwa, ambazo tunakuja uziwa elfu 40+.
Tanzania tunapenda vya bei ndogo. Za kuvutika bei ndogo. Zinapendwa.
Ila cardet kali zile nzito nzito mzee baba.
Hivi kadet og ina sifa gani za ziada mkuu ?Ni vizuri kwanza ukawajua wateja wako.
cadet OG kabisa hapa bongo bei ni 150+, maduka ya mlimani city na kwenye ma-mall. hizi hutokea sana sana uturuki
fake grade one (hata fake nazo zina grade) hizi hupatikana china. kuanzia sh 35-50 kulingana na maduka
fake grade 2 kuanzia 25-30
fake ya mwisho kuanzia 15-20
sasa hapo kama ww ni mfanyabiashara unaangalia purchasing power ya wateja wako.
maana zote hizo zina wateja wake
Huu ndo mchezo wangu mkuu.Ukitaka kadwti au jeans au mashati ya mtumba saaafi kabisa, nenda Ilala Sokoni kila siku wanafungua mzigo mnagombania bei hapo mnadani. Zipo zinazovutika pia zisizovutika, zisizovutika kwa sasa hazina bei kubwa kabisa sababu soko lake ni gumu kwa sasa, wengi wanapenda za mpira. Juzi tu hapa mimi nimetoka kununua jeans 9 kwa elfu 40.
Hizo kadet ukikuta wanafungua mzigo, ile unayoiona kali ya hatari bei kubwa unayoweza kuuziwa ni elfu 8. Ila ikipigwa pasi hapo Complex utauziwa hata 30 au 25
Mtumba ukimpata fundi mzuri zinanyooka fresh knm.Nimekuwa nikinunua kadeti mtumbani za alfu kumi kumi kisha naenda kupunguza kwa fundi wangu mmoja mkali.
Snaweza sema sina pesa ya kununua kadet moja 40K ila nahisi nimezowea tu kufanya hivyo.
Ila kwa kadet za uhakika, nunulia Mwanza au Mara za mtumba unaopitia KenyaHuu ndo mchezo wangu mkuu.
Huwa naenda mtumbani tu kucheki kadeti.
Sina kadet hata moja ya duka.
Bro, hvi zile staff jeans nazipata maduka gani?? Asee hz kadet za cku hz miyeyusho..unavaa week mbili zmepauka,,,haya sie wengne suruali za vitambaa hatupendi,,haya hz jeans za kawaida huwez vaa ofisin. Pls naomba nijulishe chimbo la kupata staff jeansNgoja aje Holy Man atupe machimbo.
Wengi siku hizi wameamua kununua mitumba tu maana hizi nyingine unadanganywa haipauki ila inapauka.
Mr Kadeti anakupa tips 10 za kufanya kadeti isipauke. Ova masherti ya mganga.
Au kama vipi amia staff-jeans.
Hzo za karume mnazipaka mafuta ya nazi. Znang'aaaa ila ukifuaa mara moja tu kwisha habari yakeNjoo karume tukupe za mtumba zilizonyooka dukan unabet unaweza nunua ya bei Kali lkn ukifua mara tatu tu nguo inatengeneza rangi tofaut
Hizo ni zile zinazoshikwa mkonon wanakupigia hadi pasi tena bei zake haizid elf kumiHzo za karume mnazipaka mafuta ya nazi. Znang'aaaa ila ukifuaa mara moja tu kwisha habari yake
Mkuu. Nina cadeti ndani kama 15 hivi. Yaani zote hazifai ata kuziangalia.Bro, hvi zile staff jeans nazipata maduka gani?? Asee hz kadet za cku hz miyeyusho..unavaa week mbili zmepauka,,,haya sie wengne suruali za vitambaa hatupendi,,haya hz jeans za kawaida huwez vaa ofisin. Pls naomba nijulishe chimbo la kupata staff jeans