Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

Tatizo la Tz ni maji na sabuni zetu
Pia nguo yenye asili ya pamba haishauriwi kufulia sabuni za unga wala kuanikwa juani,inatakiwa ikaukie kivulini,ukii'treat' nguo yako hivyo itadumu na rangi yake halisia mara tatu kuliko nguo inayoanikwa juani,
 
Pia nguo yenye asili ya pamba haishauriwi kufulia sabuni za unga wala kuanikwa juani,inatakiwa ikaukie kivulini,ukii'treat' nguo yako hivyo itadumu na rangi yake halisia mara tatu kuliko nguo inayoanikwa juani,
Kanuni hizo ambazo ni za msingi wengi wetu hatuzifati
 
Pia nguo yenye asili ya pamba haishauriwi kufulia sabuni za unga wala kuanikwa juani,inatakiwa ikaukie kivulini,ukii'treat' nguo yako hivyo itadumu na rangi yake halisia mara tatu kuliko nguo inayoanikwa juani,
Sasa hiyo elimu hatupewi
 
Of course kadet nzuri zishakuwa za kubet. Hata mm mwaka 2016 nilnunuaga kadet mbili Dodoma asee zmekaa mpaka 2020 zko poa. Eheeee nkaja nunua tena kadet moja hv weee ndan ya week moja ishapauka ovyoh
 
Mkuu nahitaji kununua za jumla nje ya nchi, na ndio maana nahitaji kujua nchi wanazochukua hizi CADET
Hivyo 'viwalo' ndiyo mavazi yangu.
Classic nikizipekenyua lebo zake zinaonesha toka Italy.

Tena hizi zikuwa mpya ukiisimamisha sakafuni zaweza kusimama bila ya kuvaliwa.

Ni nguo nzito na imara na 'zinajali size', ukiikuta size'40 inakuwa ni '40 ya ukweli.
 
Lebo yake zinatokea wapi hizo?
 
Vicobs mpango sana,brand ninazozipenda nayo imo plus Dockers,ila ukikutana na hizi chata KKOO,ZARA,Tommy,Lacoste,Camel sijui madudu gani sikushauri ununue maana nyingi ni fake kama utumbo wa bata. katika hali ya kibongo hakuna mlalahoi anaweza kununua ZARA og,Tommy na zilikuja nzur miaka flan ila sasa hivi mmmhhh uchafu tu.
 
Yaaa sasa zile huwa wananunua zile ovasaiz mikato ya kizaman ambazo kwenye debe anaweza nunua kwa elf mbili hata buku mwishowe anaenda kwa fundi kuidizain iendane na usasa akiingia Lodi lazima uipende
Yes mkuu,huu uchawi watu wengi hawajaufahamu.

Mtumbani kuna kadet nzuri sana lakini over size,watu wengi hawajui kwamba ile unaichukua kisha unaenda kwa fundi anaidizain fresh anaimodoa inanyooka fresh.

Mimi ninanunuaga kwa jamaa alfu 8 lakini jamaa anasubiri mpaka tarehe za miashahara ndo anazifungua kadet,mbali na tarehe hizo hafungui.

Wengi wakiona kadet oversize wanaacha,wajanga tunanunua kwa apfu 7 kisha kuounguza alfu 3 unakuwa umevaa kadet safi nzito kwa buku 10 tu maisha yanasonga.

Mimi nguo zangu nyingi mtumba tu
 
Km unanunua kitambaa tu
 
Mzigo wote from china,ukitaka original kabisa unapata na ukitaka ubora wa kati unapata,ukitaka ubora wa hali ya mtu unapata na ukitaka zile tunaita nyasi itapata.

Tatizo watanzania wengi hawajui vitu vizuri,na hata nguo quality anataka nunua kwa bei aitakayo yeye ambayo inaleta hasara kwa muuzaji/mletaji/mzalishaji,hivyo kwa kuwa wanapenda vitu vizuri kwa bei chee basi unatengenezewa kitu chenye kufanana na kizuri au og kwa bei uliyopanga ili nipate faida
 
Zile kali kabisa zinatoka Turkey na India. Zinazotoka China nyingi ni grade ya kati na Chini. Hizo za Turkey ma India unazipata kwenye Maduka kama "BrandHouse".
 
Ngoja aje Holy Man atupe machimbo.

Wengi siku hizi wameamua kununua mitumba tu maana hizi nyingine unadanganywa haipauki ila inapauka.

Mr Kadeti anakupa tips 10 za kufanya kadeti isipauke. Ova masherti ya mganga.

Au kama vipi amia staff-jeans.
Ila mambo mengine huwa yanafurahisha sana,huwa najiuliza yale masharti kwanini wasiyaweke humo kwenye cadet/nguo then mteja kazi yake iwe kuvaa na kufua tu japo hatukatai kila jambo lina life span means na hiyo cadet itakuja pauka/chanika lakini sio ndani ya mwezi mmoja eti kwa sababu hukufuata masharti😜😜😜😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…