Cadet za ubora wa juu zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?

Ktambaa cha kadeti mkuu unapata mtu au ?
Hapo juu tumezungumzia swala LA kununua kadet ambazo ni saiz kubwa na kuzidizain kulingana na saiz yako na muonekano unaoupenda ndio maana nikaongezea kuwa ukifanya hivyo ni sawa na kununua kitambaa.
 
Sasa kama Streetsouls mkanda (belt) wanauza 180,000 kadeti itakua bei gani?

Bora nikanunue Mr Kadeti 10 zipauke taratibu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,itakua hauko kwenye uchumi wa kati mkuu
 
Kumbe crimea ni he?nilijua ni she
Heshima yako mkuu
 
Bora ufue ipauke kuna jamaa angu alinitumia kadet mkoa nkaivaa mara 3 bila kuifua ila ikapaukia mwilin.....

Kuanzia apo sinaga habari na izo cadet za shop
 

I respect mchina
 
Hapo juu tumezungumzia swala LA kununua kadet ambazo ni saiz kubwa na kuzidizain kulingana na saiz yako na muonekano unaoupenda ndio maana nikaongezea kuwa ukifanya hivyo ni sawa na kununua kitambaa.
Ni kweli ila kwa sisi vijana mtu akanunue kitambaa ni mgumu.

Maadamu lengo ni kuvaa kadeti inakuwa powa tuu
 
Mimi kadeti zinanishinda kwenye size tu inakuwa kituko tunakuta kampuni ya jeep namba 34 ndo size yako sasa ukija kampuni nyingien Kama docker unakuta size yako ni 36 na bado huku Kwenye mapaja inabana yaani inakuwa ni mtihani mzigo kweli pale mtu anapokiambia unavaa size gani
 
Ukishaapinguza kadeti inapoteza shep yake ya msingi
 
mkuu karume upande gani hapo kunakuwa na kadeti na jeans za kijanja quality? Ila hapo palivyo na purukushani ya wahuni siwatakwangua Rangi gari yangu!!!
Shida ya nguo za Mtumba wauza mitumba huwa wanazipaka mafuta ya cherehani.Unaponunua unaona inang'aaa ukienda kufua na kuvaa imepaukaaa.Nguo ikipakwa mafuta ya baiskeli au cherehani inang'aaa kumbe hamna kitu
 
Shida ya nguo za Mtumba wauza mitumba huwa wanazipaka mafuta ya cherehani.Unaponunua unaona inang'aaa ukienda kufua na kuvaa imepaukaaa.Nguo ikipakwa mafuta ya baiskeli au cherehani inang'aaa kumbe hamna kitu
Yes,na huo ndio ujanja wao, halafu huo ujinga wanafanyaga mchana kweupe
 
Hivi kadet og ina sifa gani za ziada mkuu ?

Mimi huwa kuna mshkaji wangu huwa ananishtua akifungua mzigo wa mtumba nachagua kadet nzito kali(kwa ninavyoona) naenda kuounguza kama ni kubwa.
Wapi mkuu unapataga cadet za mtumba nzuri
 
Kweli,unapompelekea suruali fundi anakwambia buku mbili tu anarekebisha fulesh huko ni kubet na nguo haiwez nyooka lazima itakua na upinde.
Kuna mafundi uchwara ukipeleka nguo anaipunguza hipsi tu matokeo yake mifuko ya mbele inarudi nyuma yani mtu anavaa nguo mifuko ya mbele iko kwenye hipsi inakaribiana na mifuko ya nyuma.

Ukimpata fundi wa kweli anaifumua yote anakupima upya kabisa.

Kitu cha muhimu uwe na vipimo vyako unajua kiuno unava ngapi,paja unavaa ngapi,urefu ngapi hapo utaenjoi
 
Ukishaapinguza kadeti inapoteza shep yake ya msingi
Sio kweli,hao ni mafundi uchwara mzee.

Kuna kadeti nilinunua kama 5k iko mzito inang'aa freshi,ilikuwa kubwa sana nikapeleka kwa fundi akanambia 3k kupinguza.

Alichofanya akapunguza kwenye hipsi kila upande matokeo yake suruali ikawa mbaya mifuko imerudi nyuma kama sketi.

Nikamuhama nikapata fundi mmoja mzuri sana,yeye anaifumua nguo yote yaaani.

Anaifumua anakupima kila kitu upya tena kwa alfu tatu tu nikampa.

Kwa hiyo nikitumia 7k kununua kadeti kali kisha 3k kuounguza inakuwa 10k sijaharibikiwa kitu.


Ukitafuta fundi uchwara nakuambia utaharibu nguo,lazima uulizie wadau wakuoneshe fundi nzuri
 
Kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…